Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA KWA NCHI CHANGA ZA AFRIKA KUANZIA TAREHE 14 MPAKA 16 MEI, 2014-MWANZA.

Mkutano Mkuu wa 9 Ngazi ya Mawaziri katika Shirika la Biashara la Dunia “World Trade Organization (WTO)” uliofanyika kutoka tarehe 3 hadi 6 Desemba, 2013 katika mji wa Bali, Indonesia uliazimia kuboresha taratibu za kiforodha ili zifanyike kwa haraka na ufanisi mkubwa kuliko ilivyo ilivyo sasa kupitia ushirikiano kati ya mamlaka za forodha za nchi wanachama.

Makubaliano hayo pia yamechukua mahitaji ya Nchi zinazoendelea na zile zilizo changa kama vile Tanzania kwa kubeba misimamo ya msaada...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA KWA NCHI CHANGA ZA AFRIKA LAFUNGULIWA, MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, kwa niaba yaya Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda, akifungua Kongamano la uwezeshaji biashara baada ya mkutano mkuu wa Bali kwa nchi changa linalofanyika Mkoani Mwanza, Mei 16 hadi 16, 2014. Meza kuu katika Kongamano hilo. Viongozi Wakuu katika Kongamano hilo, Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mtangamano wa Biashara Bw Lucas Saronga, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, Profesa Francis...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais aiwakilisha Tanzania katika kongamano la pili la kimataifa la biashara kwa nchi za Afrika Jijini Dubai

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika majadiliano kuhusu utengamano wa Afrika na Fursa za biashara na Uwekezaji Katibu  na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Richard Sezibera, wakati wakihojiwa na Mwandishi wa habari wa Kimataifa na Mkurugenzi wa Kampuni ya ‘Eddo Media’, Mark Eddo (kushoto). (Picha na OMR).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Oktoba Mosi, 2014 ameiwakilisha Tanzania katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA KONGAMANO LA BIASHARA LA KIMATAIFA KWA NCHI ZA AFRIKA JIJINI DUBAI, FARME ZA KIARABU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika majadiliano kuhusu utengamano wa Afrika na Fursa za biashara na Uwekezaji Katibu na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Richard Sezibera, wakati wakihojiwa na Mwandishi wa habari wa Kimataifa na Mkurugenzi wa Kampuni ya ‘Eddo Media’, Mark Eddo (kushoto).Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa nne kutoka kulia) akijumuika na baadhi ya viongozi wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa rais Dkt. Bilal ahudhuria kongamano la biashara la kimataifa kwa nchi za Afrika jijini Dubai, falme za kiarabu

8

Mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa Afrika, Bw. Aliko Dangote katika mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhusu uwekezaji wake katika kiwanda cha simenti mkoani Mtwara. Dangote alisema kazi ya ujenzi inakwenda kama ilivyopangwa na kwamba kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kabisa kwa uzalishaji simenti katika ukanda wa Afrika Mashariki. (Picha na OMR).

9qq

Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI VYEMA KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA NA VIWANDA NDOLA ZAMBIA KUANZIA TAREHE 2 JULY HADI 8 JULY 2014

Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mh. Grace Mujuma akipatiwa maelezo na mmoja wa wafanyabiashara wajasiliamali kutoka nchini Tanzania ambao wanashiriki kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara na Viwanda yanayofanyika Mjini Ndola,Zambia. Sehemu ya wafanyabiashara wajasiliamali kutoka nchini Tanzania wakionyesha bidhaa zao kwenye Maonyesho hayo ya Kimataifa.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUWA NCHI YA HESHIMA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA BIASHARA KATI YA AFRIKA NA UBELGIJI APRILI 2016

Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Taasisi ya Afrika Rise baada ya kikao kilichofanyaka Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji kuwasilisha taarifa za Tanzania kuteuliwa kuwa Nchi ya Heshima katika Kongamano la Biashara Kati ya Afrika na Ubelgiji litakalofanyika Aprili 2016. Makampuni zaidi ya 1000 kutoka Taanzania, Ubeligiji, Luxembourg, Afrika, Canada, Switzerland na Dubai...

 

10 years ago

Michuzi

MDAHALO WA KUJADILI UMUHIMU WA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KATIKA KATIBA INAYOPENDEKEZWA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA UTAKAOFANYIKA KWENYE HOTELI YA BLUE PEARL, UBUNGO PLAZA DAR ES SALAAM JUMAPILI TAREHE 2 NOVEMBA 2014 KUANZIA SAA 9.00 MCHANA MPAKA

      Taasisi ya Mwalimu Nyerere inapenda kutoa taarifa kwamba imeandaa mdahalo wa Pili wenye lengo la kujadili umuhimu  wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba. Mambo ya msingi  yaliyomo katika Katiba hiyo yataainishwa  na kujadiliwa na washiriki wa Mdahalo.  Taasisi ya Mwalimu Nyerere inapenda kusisitiza kuwa lengo la mdahalo si malumbano au makatazo:
 Lengo ni kutoa fursa kwa washiriki wa mdahalo na wananchi kwa ujumla kujielimisha kuhusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani