Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KONYAGI NI NENO LA KIHAYA JITIRIRISHE NA HII KUPATA UKWELI

David Mgwassa: Konyagi ni neno la KihayaKonyagi bila kula vizuri hili hapa ndiyo jibu.JINA la kinywaji cha Konyagi ni maarufu kuliko jina la kampuni inayotengeneza kinywaji hicho,  Tanzania Distilleries (DTL). Baada ya umaarufu ambao kinywaji hicho kimejipatia hapa nchini, sasa kimejiingiza katika utengenezaji wa vinywaji vya aina nyingine kama vile mvinyo kwa ajili ya kukidhi soko la ndani na lile la kimataifa.Mkurugenzi Mtendaji wa DTL, David Mgassa (DM), amezungumza na jarida la The...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

JITIRIRISHE NA HII HAPA NA WEWE

Habari ndiyo hii ((The Fruit of Education are Sweet )) kazi kwako ujumbe umefika huo tena live bila chenga.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

DUNIA NA MAJAMBO YAKE JITIRIRISHE NA HII




KISUMU PROFESSIONAL MOURNERS OUT 2015 PRICES.
1.kulia for 1hour.............1500.2.kushtua kilio(gweyo)......500.3.kufaint.............1000.4.kupiga nduru plain......2000.5.kupiga nduru ukidengua kiuno kanungo.....2500.6. kuroll kwa ground ukilia saaana....5000.7.kukimbia kwa compound ukilia......900.8.kulia ukinyamba nyamba. ......4000.9.kukunja sura plain. .........200.10.kutetemeka plain.........999.11.kuwa mang'aa ukirukia grave uzikwe na maiti. ......7000

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kupata Nafuu, Hili ndilo Neno la Shukrani Kutoka kwa Wastara

“Shukrani kwako uliyeniumba na ukanipa pumzi ya bule bila kukulipa chochote. Asante kwa wale wote wenye kuniombea mema na kunitakia mafanikio.  Asante pia kwa wale wenye kuniombea mabaya mnanipa changamoto ambayo inanifanya nikaze buti kusaka mafanikio kwa kujua sio wote wanaonipenda nasio wote watalia  leo nikianguka kimaisha au kufa asante kwa mnaonipa ushauri . Asante mnaonifariji naamini bila watu hakuna mtu mimi ni mtu nyinyi ni watu naendelea vyema na mtaendelea kupata huduma zangu za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani