Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Korea kaskazini yafanya maadhimisho

Waride kubwa la kijeshi linafanyika nchini korea kaskazini kuadhimisa miaka 70 ya chama tawala cha Wokers Party

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yafanya jaribio la bomu

Hii ndio mara ya kwanza Korea Kaskazini imefanya majaribio ya bomu la nguvu ya maji {hydrogen}, majaribio ya awali hayakufanikiwa

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?

Experts' views on why North Korea has chosen to provoke the South by destroying the liaison office.

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini na Korea Kusini zafyatuliana risasi baada ya Kim Jong-un kuonekana hadharani

Korea Kusini imesema risasi zimefyatuliwa kwenye mpaka wao, siku moja baada ya Kiongozi wa Korea Kaskazini kuoneakana hadharana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yaitishia Korea Kusini

Korea kusini inasema kuwa korea kaskazini imepeleka silaha kwenda kwa mpaka baada ya kutoa vitisho vya kuishambulia

 

10 years ago

Vijimambo

KOREA KASKAZINI YAMTUSI OBAMA



Rais Barrack Obama wa marekani amefananishwa na tumbili wa msitu wa TropikiKorea kaskazini imeilaumu Marekani kutokana na mataizo ya mtandao ambayo yameikumba siku chache zilizopita.Tume ya taifa ya ulinzi nchini Korea Kaskazini inasema kuwa Marekani inavuruga mifumo ya mitandao ya nchi hiyo huku ikimfananishi rais wa marekani Barack obama na tumbili wa misitu ya tropiki mbali na kumshutumu kwa kuhusika katika kuonyeshwa ka filamu yenye utata inayojulikana kama The Interview.Filamu ya the...

 

10 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yafyatua makombora

Korea kaskazini yafyatua makombora ya masafa mafupi kupinga mazoezi ya kijeshi katika peninsula ya Korea

 

10 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini kufikishwa ICC?

Baraza la umoja wa mataifa la haki za binadamu limesema Korea Kaskazini inastahili kufikishwa icc.

 

9 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini na bomu la Hydrogen

Korea Kaskazini kufanya jaribio la bomu la nyuklia , Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekubaliana kuiwekea vikwazo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa UN kuzuru Korea Kaskazini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon atazuru Korea Kaskazini wiki hii, kwa mujibu wa shirika la habari la Korea Kusini Yonhap.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani