KOREA KASKAZINI YAMTUSI OBAMA
Rais Barrack Obama wa marekani amefananishwa na tumbili wa msitu wa TropikiKorea kaskazini imeilaumu Marekani kutokana na mataizo ya mtandao ambayo yameikumba siku chache zilizopita.Tume ya taifa ya ulinzi nchini Korea Kaskazini inasema kuwa Marekani inavuruga mifumo ya mitandao ya nchi hiyo huku ikimfananishi rais wa marekani Barack obama na tumbili wa misitu ya tropiki mbali na kumshutumu kwa kuhusika katika kuonyeshwa ka filamu yenye utata inayojulikana kama The Interview.
Filamu ya the...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Dec
North Korea yamtusi Obama
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?
5 years ago
BBCSwahili03 May
Korea Kaskazini na Korea Kusini zafyatuliana risasi baada ya Kim Jong-un kuonekana hadharani
9 years ago
BBCSwahili22 Aug
Korea Kaskazini yaitishia Korea Kusini
10 years ago
BBCSwahili24 May
Wanaharakati waingia Korea Kaskazini
9 years ago
BBCSwahili10 Oct
Korea kaskazini yafanya maadhimisho
11 years ago
BBCSwahili17 Feb
UN kuzindua dhulma za Korea Kaskazini
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
Korea Kaskazini yafyatua makombora
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
silaha za Korea kaskazini zazuwiwa