Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUELEKEA UCHAGUZI MKUU: Wanaokata majina ya wagombea CCM marufuku

>Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amepiga marufuku viongozi wa chama hicho katika ngazi zinazofanya uteuzi wa wagombea kukata majina ya watu walioomba nafasi mbalimbali ili kukinusuru kisipoteze nafasi nyingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Kuelekea uchaguzi mkuu Wananchi watakiwa kuwahoji wagombea Wao

Zikiwa zimesalia siku chache kupiga kura, watanzania wamekumbushwa  kuendelea kuwahoji wagombea katika dakika hizi za lala salama ili waweze kumbaini mgombea mwenyenia ya kuleta maendeleo ya kweli.

Kitendo cha kuwahoji wagombea bila kujali itikadi ya vyama vyao kinatoa fursa kwa wananchi kumtambua kila mgombea  katika kuchochea mabadiliko.

 Ni katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Wazo huru ukiwakutanisha wabunge wa jimbo la Nyamagana lengo likiwa ni kushindanisha sera za vyama...

 

10 years ago

Michuzi

ADC YAFANYA MKUTANO WA HADHARA KUWATAMBULISHA WAGOMBEA WA URAIS KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Mgombea urais wa Tanzania  kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC),  Lutasola Yemba (katikati), akimtambulisha kwa wananchi mgombea mwenza Said Miraj (kulia) na mgombea urais wa chama hicho, Zanzibar, Hamad Rashid Hamad  kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Buguruni Sheli Dar es Salaam jana.  Mgombea urais wa Tanzania  kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC),  Lutasola Yemba (katikati), akimtambulisha kwa wananchi mgombea mwenza Said Miraj (kushoto), baada ya...

 

5 years ago

Michuzi

MANGULA AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM SHINYANGA...AONYA WAGOMBEA UCHAGUZI MKUU 2020

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Philip Mangula amewaonya wagombea wa viti vya udiwani na ubunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kuwa wale ambao wataanza kampeni mapema kabla ya muda muafaka pamoja na kutoa zawadi mbalimbali watakatwa majina yao. Mangula amebainisha hayo leo Februari 16,2020 kwenye ukumbi wa CCM mkoa wa Shinyanga wakati akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu, na kamati za siasa za Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Shinyanga. Amesema Chama...

 

10 years ago

Vijimambo

Majina ya Wagombea wa CCM hadi Tarehe 17 June 2015:

1. Prof Mark Mwandosya2. Stephen Masatu Wassira3. Balozi Amina Salum Ali4. Charles Makongoro Nyerere5. Amos Robert Siyatemi6. Fredrick Tluway Sumaye7. Mohamed Gharib Bilal8. Ali Karume9. Edward Ngoyai Lowasa10. John Pombe Magufuli11. Prof Sospeter Muhongo12. Samwel John Sitta13. Titus Mlengela Kamani14. Mwigulu Lameck Nchemba15. Musa Godwin Mwapango16. Lazaro Samuel Nyalandu17. Peter Isaiah Nyalali18. Leonce Nicholas Mulenda19. Bernard Kamilius Membe20. Luhaga Joelson Mpina21. Mwelecele...

 

10 years ago

Michuzi

PRESS CLUB ZNZ YAFANYA UCHAGUZI NA KUSISITIZWA MAADILI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Katibu Mkuu msaafu wa Jumuiya ya Wandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) Suzan Peter Kundambi katikati akitoa taarifa ya mwaka kwa Wanachama wa Jumuiya hiyo katika mkutano wa Mwaka wa ZPC ulioambatana na uchaguzi. Mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ekrotanal Mjini Unguja. Wajumbe walioshiriki uchaguzi wa Jumuiya ya Wandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) wakipiga kura kuchagua uongozi mpya katika mkutano wa Mwaka wa Jumuiya hiyo ambao uliambatana na uchaguzi huo ambao uliofanyika ukumbi wa Ekrotanal...

 

10 years ago

Vijimambo

Hii Ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM, itakayopitisha Majina Matano ya Wagombea Urais


Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja.1. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Dr. Ally Mohamed Shein
3. Phillip Japhet Mangula
4. Abdulrahman Kinana
6. Dr. Mohamed Ghalib Bilal
7. Mizengo Kayanza Peter Pinda8. Balozi Seif Ali Iddi
9. Anna Semamba Makinda
10. Pandu Amir Kificho
11. Rajab Luhwavi
12. Vuai Ali Vuai
13. Nape Moses Nnauye
14. Mohammed Seif Khatibu
15. Zakhia Hamdan Meghji
16. Asha Rose Migiro
17. Sophia...

 

5 years ago

Michuzi

RATIBA KAMILI YA MCHAKATO WA KUWAPATA WAGOMBEA WA CCM WA NAFASI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA RAIS WA ZANZIBAR KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020



1.0.     URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

NA

TAREHE

SHUGHULI/MAELEZO

1

15 – 30/06/2020

Kuchukua na kurejesha fomu. Mwisho wakurudisha fomu ni tarehe 30/6/2020 Saa 10:00 jioni.

2

15 – 30/06/2020

Kutafuta wadhamini Mikoani.

VIKAO VYA UCHUJAJI

3

06 – 07/07/2020

Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

4

08/07/2020

Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili Taifa.

5

09/07/2020

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa: Kufikiria na kutoa Mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...

 

10 years ago

Vijimambo

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Waziri mkuu Mizengo Pinda.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kikitegemea kupata upinzani mkubwa kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanza kwa siasa za mfumo wa vyama vingi nchini.Wapinzani wakienda sawa kama wanavyodai na kumsimamisha mgombea mmoja kwa kila nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani, kazi itakuwa kubwa kwao.Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana ulitoa picha inayoonyesha kuimarika kwa upinzani nchini, kwani matokeo ya jumla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani