Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMBUKUMBU MIAKA MITATU YA MWANAHABARI MWANGOSI

Aliyekuwa Katibu wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa Frank Leonard (Kulia) akifungua mkutano mkuu wa IPC jana katika ukumbi wa Maktaba ya Iringa katikati ni Daud Mwangosi ambaye alikuwa ni mwenyekiti wa IPC akifikiri jambo.Aliyekuwa mwenyekiti wa IPC Daud Mwangosi (kushoto) akihojiwa na mzee wa matukio daima Bw Francis Godwin  ambaye alikuwa ni katibu msaidizi wa IPC juu ya wanahabari kudumisha umoja na mshikamano wakati wa uhai wake.

Mwandishi wa habari wa Chanel Ten mkoa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Miaka mitatu ya kumbukumbu ya Bella kufanyika leo Makongo juu

Untitled

Bella 3rd Anniversary – Programme 24 April 2015.doc 

 

10 years ago

Raia Tanzania

Atupwa jela miaka mitatu

MAHAKAMA ya Wilaya Ilala imemuhukumu Mwanamuziki wa Bendi ya Achigo, Frank Ndokezi (41) kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa kuiibia Ofisi ya Usaki Sacos Sh. milioni 19.8, kutakiwa kulipa faini ya fedha hizo mara baada ya kumaliza kutumikia adhabu hiyo

Hukumu hiyo ilitolewa jana Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Juma Hassan, Wakili wa Serikali Ferista Mosha.

Hakimu Hassan alisema upande wa mashitaka ulikuwa na mashahidi watano waliotoa ushahidi ili kuweza kuthibitisha...

 

10 years ago

GPL

FRANCIS CHEKA JELA MIAKA MITATU

BONDIA Francis Cheka (pichani) leo amehukumiwa miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga meneja wake wa baa mkoani Morogoro mwaka jana. Cheka amehukumiwa katika Mahakama ya…

 

10 years ago

Mtanzania

Mwandishi atakayepotosha jela miaka mitatu

agNa Fredy Azzah, Dodoma

BUNGE limetuma salamu kwa vyombo vya habari na waandishi wa habari kwa kupitisha Muswada wa Takwimu wa Mwaka 2013, ambao pamoja na mambo mengine unataka mwandishi atakayefanya makosa kwenye kuripoti taarifa za takwimu kufungwa jela miaka mitatu ama kutozwa faini ya Sh milioni 10.

Muswada huo umepitisha wakati ambapo, Machi 31, mwaka huu Serikali inatarajiwa kuwasilisha muswada wa Sheria ya Kupata Habari wa Mwaka 2015 na ule wa Vyombo vya Habari wa Mwaka 2015, yote kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kigogo TBS jela miaka mitatu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salam jana imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu jela aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekerege baada ya kumtia hatiani...

 

10 years ago

GPL

MIAKA MITATU MUHIMBILI BILA MATIBABU

Kijana Amosi Ng’arare Marale Sasi,(22) anayesumbuliwa na uvimbe usoni. Na Haruni Sanchawa/Uwazi Alikuja Muhimbili ili akafanyiwe upasuaji India, alipelekwa akarudishwa bila kutibiwa, awaita ndugu zake hospitalini. Kijana Amosi Ng’arare Marale Sasi,(22) mkazi wa Kijiji cha Kizaru, Kata ya Mryaza, wilayani Musoma Vijijni amepoteza mwelekeo wa maisha baada ya ndoto yake ya kusoma hadi chuo kikuu kuishia njiani...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!

Na Musa Mateja
Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana jukwaani na sare zinazoaminika kuwa za Jeshi la Wananchi (JWTZ) kisha kukamatwa kwa kundi lake la Wasafi Classic Baby (WCB) na meneja wake, Babu Tale, kuna uwezekano wa jamaa huyo kufungwa jela miaka miwili au mitatu. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri zamu yake kupanda jukwaani....

 

10 years ago

Habarileo

Wivu wampeleka jela miaka mitatu

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu Rebecca Nyangolema (30) kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na kulipa fidia ya Sh 350,000 baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia kwa maji ya moto mlalamikaji na kumsababishia maumivu.

 

10 years ago

Habarileo

Mkurugenzi TBS jela miaka mitatu

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela, baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka na kutoa msamaha wa ada ya utawala kwa kampuni mbili bila kibali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani