KUMBUKUMBU YA CAROLINE
![](http://2.bp.blogspot.com/-rYOKzMBnnNs/VPmKLk57T1I/AAAAAAADbj4/tzFUxhsJHR0/s72-c/IMG-20150306-WA0000.jpg)
Caroline ni masaa, siku, wiki, miezi na hatimaye leo mwaka mmoja, toka siku ile tarehe 07/03/2014 saa saba mchana ulipotuacha kwa majonzi ya kutokuamini Kama kweli umeondoka,lakini kwetu ni kama jana tu maana Upendo na Busara zako kwetu bado upo nasi na utaendelea kuwa nasi milele. kiroho bado tuko nawe! Caro siku zote utakumbukwa sana na mume wako Chris Muhoka, watoto wako Jj, David, Clements, Michelle, na Scott, Mama yako Esnath Mwaiselage, kaka, Dada, Ndugu, jamaa na marafiki zako...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDMV YAFANYA MISA YA KUMBUKUMBU NA KUOMBOLEZA KIFO CHA CAROLINE MWAISELAGE
11 years ago
MichuziDMV YAFANYA MISA YA KUMBUKUMBU NA KUOMBOLEZA KIFO CAROLINE MWAISELAGE DMV
10 years ago
Vijimambo27 Jul
Kati ya mambo ninayomkubali zaidi Dr Slaa ni KUMBUKUMBU. Jamaa ana kumbukumbu sana.
![](https://scontent-lga1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xat1/v/t1.0-9/s480x480/10401981_10206449526990889_6289542229888818994_n.jpg?oh=81839c90cb8deef7131498511492f2b8&oe=565CB2A8)
Afikirie "uchafu" wote waliosema Lowassa anao, bado aonekane "msafi kuwakilisha chama kuliko yeye"Ni hapo unapotamani uwe na SELECTIVE AMNESIASijui kuna sauti ngapi kichwani mwake sasa?Na sijui kama kuna inayomuasa kufanya "maamuzi magumu"?:
SOURCE.:.MUBELWA BANDIO
5 years ago
The Guardian17 Feb
Caroline Flack obituary
5 years ago
The Guardian16 Feb
Caroline Flack's death is as tragic as it is anger-inducing
5 years ago
HuffPost23 Mar
Neil Diamond Gives 'Sweet Caroline' A Less-Touchy Makeover For Coronavirus
5 years ago
The Guardian04 Mar
Caroline Flack death: police watchdog will not investigate Met
5 years ago
The Guardian19 Feb
Caroline Flack's family releases unpublished Instagram post
5 years ago
The Guardian16 Feb
Barristers warn of strain on defendants after Caroline Flack death