KUMBUKUMBU YA MAMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-pbbqad_3HKk/VJy64oSqlfI/AAAAAAADSig/bNNFQASkdtE/s72-c/SC20141130-181925.jpg)
kumkumbuka mama yatu leo tarehe 26Dec1996 alifariki anaitwa Mrs Wampela Rehema Mbeyela nimiaka 18 sasa
Mama tulikupenda Mungu alikupenda zaidi.
Ni mimi
Happiness and Neema Mbeyela Watoto wake
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-gxT2HL75xko/VXF6XPxIOJI/AAAAAAAHcQg/eZmEv9rUgKs/s72-c/MRS%2BMNUBI.jpeg)
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MAMA YETU MPENDWA MRS K. MNUBI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-gxT2HL75xko/VXF6XPxIOJI/AAAAAAAHcQg/eZmEv9rUgKs/s640/MRS%2BMNUBI.jpeg)
Tunakukumbuka sana mama japo kimwili haupo nasi, pengo lako daima haliwezi kuzibika. Tunakukumbuka kwa upendo wako, ushauri wako kama mama na mke. Kipekee unakumbukwa sana na mume wako mpendwa ACP Kedmond...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/xU_YSE_j360/default.jpg)
11 years ago
GPLMISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MAMA MRS AURELIA FRANCIS NSOLO DMV
Picha ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo aliyefariki Marcha 17, 2014 Tanzania na kufanyika misa ya kumbukumbu College Park, Maryland. siku ya Jumapili March 23, 2014.
Wachungaji walioongoza misa hiyo wakiiombea familia ya marehemu kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo iliyofanyika…
10 years ago
Vijimambo27 Jul
Kati ya mambo ninayomkubali zaidi Dr Slaa ni KUMBUKUMBU. Jamaa ana kumbukumbu sana.
![](https://scontent-lga1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xat1/v/t1.0-9/s480x480/10401981_10206449526990889_6289542229888818994_n.jpg?oh=81839c90cb8deef7131498511492f2b8&oe=565CB2A8)
Afikirie "uchafu" wote waliosema Lowassa anao, bado aonekane "msafi kuwakilisha chama kuliko yeye"Ni hapo unapotamani uwe na SELECTIVE AMNESIASijui kuna sauti ngapi kichwani mwake sasa?Na sijui kama kuna inayomuasa kufanya "maamuzi magumu"?:
SOURCE.:.MUBELWA BANDIO
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania