Kundi la Orijino Komedy wajiunga na Huduma ya Bima itolewayo na CRDB Microfinance Insurance Brokers
CRDB Microfinance Insurance Brokers ambao ni wakala wa bima za aina zote ikiwemo bima ya afya, moto, nyumbani na maisha wakishirikiana na kampuni zaidi ya kumi za bima nchini Tanzania,wamefanikiwa kuwapatia huduma ya bima ya maisha,mazishi na ulemavu wa kudumu Kundi la Wasanii wa Vichekesho la Orijino Komedy Company wao na familia zao kupitia African life Assurance (Tanzania) Ltd na bima ya afya wao na familia zao kupitia Kampuni ya AAR Insurance Tanzania.
CRDB Microfinance wanayo furaha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLORIJINO KOMEDY KUKAMUA TAMASHA LA TIGO JIJINI MWANZA
10 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
Jubilee InsuranceTanzania and R&R Insurance Brokers introduce the first-ever Investment Plan for Tanzanians living in the Diaspora

10 years ago
TheCitizen02 Feb
CRDB Bank, Heritage Insurance honoured as best boards
10 years ago
Michuzi
Jubilee Insurance kutumia M-PESA kuwawezesha mamilioni ya watanzania wenye kipato cha chini kujiunga na bima ya Afya

10 years ago
GPL
JUBILEE INSURANCE KUTUMIA M-PESA KUWAWEZESHA MAMILIONI YA WATANZANIA WENYE KIPATO CHA CHINI KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA
10 years ago
Michuzi
Benki ya CRDB na kampuni ya Bima ya Heritage zanyakua tuzo za BBLA 2014


11 years ago
GPL
WATEJA 225,000 WA VODACOM WAJIUNGA NA HUDUMA YA UJUMBE MFUPI YA UZAZI SALAMA
10 years ago
Dewji Blog30 Jul
UAP Insurance Tanzania yazindua huduma zake mpya na tafrija fupi
Meneja madai wa kampuni ya Bima ya UAP Bw. Michael Emmanuel (kushoto) akiwa na Ally Athumani Meneja Uandikishaji wa UAP wakati wa utambulisho wa huduma hizo mpya walizo zindua za UAP JIKINGE na UAP FAMILY KINGA (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog).
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar es Salaam). Kampuni ya Bima ya UAP Tanzania, wamekuja na huduma mpya mbili za Bima kwa watu wote ambayo itaboresha maisha ya wateja wake ikiwemo katika huduma za matibabu mbalimbali nchini.
Huduma...