Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ORIJINO KOMEDY KUKAMUA TAMASHA LA TIGO JIJINI MWANZA

Msanii wa Kundi la Orijino Komedy, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’  (katikati) akielezea jinsi kundi lake litakavyofanya makamuzi kwenye tamasha hilo. Kushoto ni Isaya Mwakilasa ‘Wakuvanga’ na Lukas Mhuvile ‘Joti’, kulia ni Meneja wa Bidhaa za Tigo, Edwin Mgoha na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Farid  Kubanda ‘Fid Q’.
Meneja wa Bidhaa za Tigo akisistiza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Original Komedi waacha gumzo jijini Mwanza kwenye Tamasha la Tigo Welcome Pack

komedy

Wasanii wa kundi la Original Komedi wakitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Welcome Pack lililofanyika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza juzi, kampeni ya welcome pack inawawezesha wateja wa Tigo kujua huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo. orijino komedy Masanja2 Mpoki MwanaFA2 Mwana HipHop Hamisi Mwinyijuma maarufu MwanaFA akiwaburudisha mashabiki waliofurika kwenye tamasha la Tigo Welcome Pack lililofanyika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza juzi, kampeni ya welcome pack inawawezesha wateja wa Tigo kujua huduma...

 

10 years ago

Vijimambo

Kundi la Orijino Komedy wajiunga na Huduma ya Bima itolewayo na CRDB Microfinance Insurance Brokers

CRDB Microfinance Insurance Brokers ambao ni wakala wa bima za aina zote ikiwemo bima ya afya, moto, nyumbani na maisha wakishirikiana na kampuni zaidi ya kumi za bima nchini Tanzania,wamefanikiwa kuwapatia huduma ya bima ya maisha,mazishi na ulemavu wa kudumu Kundi la Wasanii wa Vichekesho la Orijino Komedy Company wao na familia zao kupitia African life Assurance (Tanzania) Ltd na bima ya afya wao na familia zao kupitia Kampuni ya AAR Insurance Tanzania.
CRDB Microfinance wanayo furaha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo, Original Komedi na Wasanii kibao kutikisa jiji la Mwanza kwenye tamasha la Welcome Pack jumamosi hii

5

Meneja wa Bidhaa wa Tigo Bw. Edwin Mgoa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza tamasha kubwa la Tigo welcome pack litakalofanyika uwanja wa ccm Kirumba jijini Mwanza Jumamosi ya wiki hii, tamasha hili litaweza kuwapa wananchi fursa ya kupata maelezo ya kina kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo.

1

Msanii wa kundi la Original Komedi Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja akitoa vionjo kwenye mkutano wa waandishi wa habari(hawapo pichani) kwa ajili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo yawawezesha waendesha BodaBoda Jijini Mwanza

mkurugenzi wa tigo (1)

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza juzi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na mpango wa Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi na kulipia kupitia Tigo Pesa.

RTO (1)

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo madereva wa Bodaboda na mpango wa Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yatoa msaada wa Kompyuta hospitali ya Sekou Toure jijini Mwanza

diego handover

Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akimkabidhi Mkuu wa wilaya Nyamagana, Mhe. Baraka Konisaga, moja ya kompyuta 25 zilizotolewa msaada na kampuni ya Tigo kwa hospitali ya Sekou Toure Mkoani Mwanza leo asubuhi.

dc

Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe. Baraka Konisaga akizungumza jambo na Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez, katikati ni Mwenyekeiti wa bodi ya hospitali ya Sekou Toure Mkoani Mwanza Christopher Mwita Gachuma mara baada ya kukabidhi komputa 25 kwa hospitali hiyo.

group photo

Meneja Mkuu wa Tigo...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA TAMASHA LA UJASIRIAMALI JIJINI MWANZA LEO

Watu waliojitokeza kwa wingi siku ya leo kujifunza elimu ya ujasiriamali. Mwalimu wa Ujasiriamali James Mwang'amba akijibu maswali ya wakazi wa jiji la Mwanza. Masanja mkandamizaji (katikati ).…

 

11 years ago

Michuzi

Ngeleja mgeni rasmi tamasha la Pasaka jijini Mwanza

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka linalotarajia kufanyika Mei 4 Jijini Mwanza.Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti  wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Abihudi Mang’era kamati imejipanga  kufanya tamasha la kishindo jijini humo kwa sababu maandalizi yake ni ya hali ya juu.
Mang’era alisema tamasha hilo litakuwa ni la aina yake ambako alitoa wito kwa wakazi wa Kanda ya ziwa kujitokeza kwa wingi katika tamasha...

 

11 years ago

Michuzi

Vyombo vipya kutumika tamasha la Pasaka jijini Mwanza

KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka imepanga kutumia vyombo vipya vya muziki katika Tamasha la Pasaka, Mei 4 jijini Mwanza.Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama hivi sasa kamati yake bado inaendelea na taratibu za kuvileta vyombo hivyo.     Msama alisema vyombo hivyo vya kisasa wameviagiza nchini China ambavyo ni vya kisasa zaidi katika tasnia ya muziki duniani.Aidha Msama alisema sababu za kuagiza vyombo hivyo vipya ni kuwasaidia wanamuziki...

 

11 years ago

GPL

KUTOKA JIJINI MWANZA KATIKA TAMASHA KUBWA LA UJASIRIAMALI LEO

Wananchi wakijipatia huduma kutoka kwa wadhamini wa Tamasha la Ujasiriamali linalofikia kilele chake leo hii jijini Mwanza. Wananchi wakijipatia CD za Eric Shigongo na James Mwang'amba zenye mafunzo ya ujasiriamali. (PICHA: CHANDE ABDALLAH NA DENIS MTIMA /…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani