Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUPIGA PICHA NA KOMBE LA BARCLAYS PREMIER LEAGUE KESHO LITAKUWA IPP MEDIA, MLIMANI CITY, MAZESE, BIAFRA NA VIWANJA VYA KARUME JIJINI DAR.

 Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Barclays hapa nchini, Osca Mwakyusa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na ratiba ya kutembeza Kombe la Ligi kuu ya Uingereza limeanza kutembezwa jijini Dar es Salaam kuanzia leo  Disemba 3, mwaka huuNa kesho wapenzi wa soka na ligi kuu ya Uingereza  waombwa kujitokeza kwaajili ya kupiga picha na kombe hilo ambalo limeaanza kutembezwa leo asubuhi. Ikiwa kwa kesho asubuhi Kombe hilo litaanzia katika tawi kuu la benki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAPENZI WA SOKA JITOKEZENI KUPIGA PICHA NA KOMBE LA LIGI KUU YA UINGEREZA (BARCLAYS PREMIER LEAGUE)

BENKI  ya Barclays hapa nchini yawaletea wapezi wa soka kombe la ligi kuu ya uingereza kwaajili ya kupiga nalo picha ikiwa mwaka huu ni mwisho wa benki hiyo kudhamini ligi kuu nchini Uingereaza, Pia wananchi wajitokeze kufungua akaunti kwaajili ya mshara katika benki hiyo ili kujishindia tiketi mbili za kwenda kuangalia ligi kuu ya uingereza.






Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa kitengo cha Masoko benki ya Barclays, Joe Bendera wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUBWA WA INJILI WAFANYIKA VIWANJA VYA BIAFRA,KINONDONI JIJINI DAR

Mchungaji kiongozi wa kanisa la Kinondoni Reviral Church ambao ndio waandaaji wa mkutano wa Injili unaoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni, Dkt. Rogate Swai akihubiri neno la mungu katika mkutano huo. Waambaji wa kwaya wa Kanisa la Kinondoni Reviral Church wakipamba jukwaa katika mkutano mkubwa wa injili unaoendelea kufanyika katika viwanja vya Biafra,Kinondini jijini Dar es salaam. Mamia ya watu wakifuatilia kwa karibu mkutano huo mkubwa na waaina yake, katika...

 

10 years ago

Michuzi

ONESHO LA S!TE KUFUNGULIWA KESHO JUMATANO MLIMANI CITY,JIJINI DAR

ONESHO la kimataifa la utalii ‘Swahili International Tourism Expo’ (SITE) linaloandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) linafunguliwa rasmi leo (kesho Jumatano) katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City na litamalizika Jumamosi.
Tayari maandalizi yote kuelekea ufunguzi wa onesho hilo yamekamilika na kwamba watanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuja kujionea vivutio adhimu wa taifa hili.
Shirika la Hifadhi ya Taifa (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) pamoja na...

 

10 years ago

Vijimambo

ONESHO LA SITE KUFUNGULIWA KESHO JUMATANO MLIMANI CITY,JIJINI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Saddick akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwepo wa onyesho la kimataifa la utalii ‘Swahili International Tourism Expo’ (SITE) linaloandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB),litakalofunguliwa rasmi kesho Jumatano katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB),Devota Mdachi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu onyesho hilo la kimataifa la utalii ‘Swahili...

 

11 years ago

GPL

MAFIKIZOLO KUTUA LEO JIJINI DAR, KUFANYA MAKAMUZI KESHO MLIMANI CITY

Kundi maarufu la muziki wa Kwaito la nchini Afrika Kusini, Mafikizolo linatarajia kutua mchana huu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya onesho moja tu linalotarajia kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City, kesho, Jumamosi Aprili 5 mwaka huu. Mafikizolo imekuwa na rekodi nzuri ya kushinda kwenye tuzo mbalimbali za muziki, kutokana na kupiga muziki na kucheza kwa umahiri, hasa mtindo wao maarufu wa Kwaito. Kundi hilo linaloundwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni  Mhe Paul Makonda alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. John Pombe Magufuli alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI NI KESHO VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM MAANDALIZI YAMEKAMILIKA WANA MUZIKI LULUKI KUTOA BURUDANI WANDUGU SAIDIA TUTANI UZINDUZI RASMI NI KESHO

 Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai,  viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika viwanja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani