WAPENZI WA SOKA JITOKEZENI KUPIGA PICHA NA KOMBE LA LIGI KUU YA UINGEREZA (BARCLAYS PREMIER LEAGUE)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Gj8D7tGLF6M/Vk2K9_9tFDI/AAAAAAAIGu8/b_G_7IPnt30/s72-c/IMG_5451.jpg)
BENKI ya Barclays hapa nchini yawaletea wapezi wa soka kombe la ligi kuu ya uingereza kwaajili ya kupiga nalo picha ikiwa mwaka huu ni mwisho wa benki hiyo kudhamini ligi kuu nchini Uingereaza, Pia wananchi wajitokeze kufungua akaunti kwaajili ya mshara katika benki hiyo ili kujishindia tiketi mbili za kwenda kuangalia ligi kuu ya uingereza.
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa kitengo cha Masoko benki ya Barclays, Joe Bendera wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-z_QgRK2k27s/VmAbNSwwSeI/AAAAAAAIJ_Q/IKaPTVAhI50/s72-c/IMG_6332.jpg)
KUPIGA PICHA NA KOMBE LA BARCLAYS PREMIER LEAGUE KESHO LITAKUWA IPP MEDIA, MLIMANI CITY, MAZESE, BIAFRA NA VIWANJA VYA KARUME JIJINI DAR.
![](http://2.bp.blogspot.com/-z_QgRK2k27s/VmAbNSwwSeI/AAAAAAAIJ_Q/IKaPTVAhI50/s640/IMG_6332.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Whu7RSvDwY3vqPRAnQNucWX*3FzFICFojPPylLOEkC0UiojTPRf3ImAJpyKCbzC6CTSS3FkwH-qRv7tpkp4YWEx8BuaYrlou/SuperSportKeyLiveEventsEPLandFACUP89032014MichuziBlogBanner.jpg?width=750)
9 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-fmYoPZu7Ktg/VdoxhfPaU8I/AAAAAAAADZE/yDNbWIsYNHs/s72-c/barclays-premier-league-trophy-wallpaper-62086.jpg)
BARCLAYS PREMIER LEAGUE "EPL", LA LIGA, SERIE A & BUNDESLIGA TABLES UP TO NOW..
![](http://2.bp.blogspot.com/-fmYoPZu7Ktg/VdoxhfPaU8I/AAAAAAAADZE/yDNbWIsYNHs/s600/barclays-premier-league-trophy-wallpaper-62086.jpg)
Football tables provided by
![whatsthescore.com](http://medias.whatsthescore.com/upload/logo-s.png)
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch...
11 years ago
BBCSwahili15 Mar
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Matokeo ya Ligi kuu ya Uingereza
EPL-Matokeo ya mechi zilizochezwa siku ya jumamosi.
Liverpool 1 - 1 Everton
Chelsea 3 - 0 Aston Villa
Crystal Palace2 - 0Leicester
Hull 2 - 4 Man City
Man Utd 2 - 1 West Ham
Southampton 2 - 1QPR
Sunderland 0 - 0 Swansea
Arsenal 1 - 1 Tottenham
11 years ago
TZToday10 years ago
Vijimambo03 May
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Mechi za ligi kuu Uingereza Jumamosi