Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kura ya Meghji yazua utata mpya

Suala la Mjumbe wa lililokuwa Bunge Maalumu la Katiba, Zakia Meghji kupiga kura upande wa Zanzibar wakati wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa, limechukua sura mpya baada ya uliokuwa uongozi wa Bunge hilo kusema, “hakuna sehemu yoyote iliyobainisha kwamba alikuwa mjumbe kutoka Bara.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Chadema walaani Meghji kuipigia kura Zanzibar

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitendo kilichofanywa na uongozi wa lililokuwa Bunge Maalumu la Katiba cha kumfanya Mjumbe wa Bunge hilo, Zakia Meghji kupiga kura kama Mzanzibar badala ya ‘Mtanzania Bara’ ni ‘uhuni’ unaotakiwa kuchukuliwa hatua na wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mapato Ligi Daraja la Kwanza yazua utata

Bodi ya Ligi Kuu nchini imeshindwa kutangaza mapato yaliyopatikana kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi Daraja la Kwanza kutokana na baadhi ya vituo kuchelewa kuwasilisha taarifa za mapato.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha ya Wema Sepetu na ‘Mchumba’ wa Linnah Yazua Utata

Picha iliyosambaa mtandaoni ya Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu akiwa na aliyekuwa mchumba wa msanii wa Bongo Fleva,Linnah Sanga aitwaye Naga imezua utata baada ya mashabiki wa mwigizaji huyo kuhisi huenda amejiweka kwa mwanaume huyo baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz.

Taarifa kutoka ‘kitaani’zinasema kuwa wawili hao wameingia kwenye uhusiano wa kimapenzi ili kulipiza kisasi cha miaka kadhaa iliyopita baada ya kusemekana kuwa Linnah aliwahi...

 

9 years ago

Mwananchi

Magari ya Chadema yazua utata Mbeya, viongozi wahojiwa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani Mbeya kimelalamikia polisi kuwahoji viongozi wake kuhusu vijana waliokuwa wakilinda msafara wa mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa wakiwa kwenye gari.

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Posho yazua utata Black Stars

Ghana iko katika hali ngumu ya kujikwamua kiuchumi katika kambi yao nchini Brazil na inatakiwa kumaliza tatizo hilo kabla ya kuivaa Ujerumani katika mchezo wa Kundi G wa Kombe la Dunia mjini Fortaleza Jumamosi.

 

10 years ago

GPL

POST YA ZARI KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA WIFI YAKE YAZUA UTATA INSTAGRAM

MPENZI wa staa wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady' amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya Instagram huku post yake ikizua utata kwa mashabiki. Zari. Zari ambaye bado yupo Bongo katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai...

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]

Kutokana na uzito wa mjadala huo wa kura, mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho, alilazimika kusogeza mbele muda wa kumaliza kikao hicho hadi saa tatu usiku.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wahoji utata upigaji kura

Pamoja na Bunge Maalumu la Katiba kupitisha kanuni zote 87 za uendeshaji wake, bado kuna sintofahamu miongoni mwa wananchi kuhusu nini kilikubaliwa katika utaratibu wa upigaji wa kura.

 

10 years ago

Mwananchi

Utata Kura ya Maoni uangaliwe kwa makini

Juzi viongozi wa vyama vya upinzani walikuwa na kikao cha pamoja na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kujadili mchakato wa Kura ya Maoni, ambayo imetangazwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa itafanyika Aprili 30.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani