Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kura ya Uswiswi yaamua kupunguza wageni

Watu wa Uswiswi wamekubali kwa wingi kidogo kwamba kiwepo kiwango cha idadi ya wageni wanaoruhusiwa kuingia nchini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kupunguza uchumi wa taslimu uwe mkakati wa kupunguza ujambazi

MATUKIO ya majambazi kuwavamia watu na kuwakuta na fedha nyingi ni mengi. Juzi sista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka – Dar es Salaam, alivamiwa na kupigwa risasi na majambazi,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria YAAMUA

Mamilioni ya raia wa Nigeria wanapiga kura ilio na ushindani mkubwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

UCHAGUZI2015:TANZANIA YAAMUA

Huku matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Tanzania yakiendelea kutolewa BBC inaendelea kukufahamisha kuhusu matukio tofauti nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi: Israeli yaamua

Mamilioni ya wapiga kura wamejitokeza leo kuchagua wabunge wapya nchini Israeli

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yaamua 2015

Watanzania watapiga kura Oktoba 25 kumchagua mrithi wa Rais Jakaya Kikwete anayeondoka madarakani baada ya kuongoza kwa mihula miwili.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel yaamua kuendeleza mashambulizi

Jeshi la Israel limesema kuwa linaendeleza mashambulizi yake katika eneo la Gaza .

 

10 years ago

BBCSwahili

Ireland yaamua kuhusu ndoa za jinsia moja

Shughuli ya upigaji kura inaendelea huko Ireland katika kura ya maoni ya kubadilisha katiba ili kuruhusu ndoa za mapenzi ya jinsia moja.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Magenge ya uhalifu yaamua kuweka silaha kando Afrika Kusini

Jinsi virusi vya corona vilivyoshinikiza usitishwaji wa vita kati ya magenge hasimu ya uhalifu Afrika Kusini.

 

5 years ago

Michuzi

CHADEMA YAAMUA KUZUIA WABUNGE WAKE KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE LA BAJETI,KUKAA KARANTINI KWA SIKU 14 KUKABILI CORONA

 Mwandishi Wetu, Michuzi TV

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA)kimewataka Wabung wake wote kutohudhuria vikao vya Bunge la Bajeti pamoja na kuhudhuria vikao vya  Kamati za Bunge.

Pia Chama hicho kimewataka wabunge wake kujiweka karantini kwa muda usiopungua siku14 kama hatua ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.

Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambayo ameitoa leo Mei 1,2020  kwa vyombo vya habari amesema ni wakati wa kila mmoja wao kuchukua hatua za kijikinga na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani