Kutokana na Ushiriki Hafifu wa Wasanii Kwenye Msiba Wa Diffender, Sumaku Asema Haya
Mwenyekiti wa Chama cha Wachekeshaji (Tanzanian Comedian Association) Habib Mkamba ‘Sumaku’ amewapongeza wasanii hao kwa kujitolea katika kumuuguza msanii mwenzao hadi kifo chake Fadhil Said almaarufu kama Diffender, amedai kuwa pamoja na kutengwa na wasanii wengine lakini walijitoa.
Nawashukru na kuwapongeza kwa wale wasanii wa Komedi ambao tumejitoa kupigania afya ya marehemu Difenda, niliwahi kusema kila anapofariki mwenzetu kuna mwingine yupo njiani tusiposhirikiana ni...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies06 Jan
Kutokana na Malumbano Yao Mitandaoni, Mzee Yusuf Asema Haya Kwa Wake Zake
Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa Mzee Yusuf,kumekuwa na malumbano ya mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii kati ya wake zake wawili Leila na Chiku,Mzee Yusuf amesema hafurahishi na malumbano hayo…
‘’Sio vitu vizuri sifurahii huwa najaribu kuwaaambia sijui hawa wake zangu wananionaje ,pengine hawajui kuwa mimi ni mume wao hawanipi heshima yangu na hasa huyo anayetaka kufanya mambo ya vituko,binafsi sipendi na huwa sifurahii na najaribu kuwaasa tena kwenye Instagram huwa nawaambia waangalie...
9 years ago
Bongo Movies05 Jan
Wasanii Watoa Mapendekezo Haya Kwenye Kikao Chao cha Leo
Katika Kikao cha Wanamuziki kinachoendelea leo jijini Dar, wasanii wametoa mapendekezo makuu matatu : (1) kutokuwa na imani na CMEA (2) kuvunjwa kwa bodi ya COSOTA kutokana na kutokuwa utaratibu mzuri wa kudhibiti na kusimamia mirabaha ya kazi zao na (3) Radio stations ziendelee kupiga nyimbo zao hadi watapotoa tamko.
Hivyo wameomba rais wa shirikisho (Ado Novemba) kupeleka maombi kwa Waziri mwenye dhamana ‘Mh. Nape Nnauye’ Waziri wa habari, michezo, sanaa na...
10 years ago
Bongo519 Feb
Dully Sykes alia na wasanii waliomtenga kwenye msiba wa baba yake
9 years ago
Bongo Movies20 Sep
Wakati Baadhi Ya Wasanii wa Bongo Movies Wamejikita Kwenye Siasa, Gabo Ana Haya
Mcheza filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema sanaa haitakufa licha la wimbi la wasanii wake kujikita katika maswala ya siasa kwa sasa, kwasababau wapo amabo wameamua kuiendeleza kwa kwenda mbele.
Gabo amesema pamekuwa na wasiwasi kwamba fani ya filamu haitaweza tena kuwa pale ilipokuwa baada ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao kutokana na wasanii wengi kuwania kuingia Bungeni na chuki baina yao.
Maishani kila mmoja ana maamuzi yake, alisema Gabo , na ndiyo maana ana chofikieria...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-b_As5MMU8o8/U9TzsH1No4I/AAAAAAAAFt4/3LXCcf3qBHA/s72-c/IMG_2508.jpg)
KUFUATIA MUAMKO HAFIFU WA UCHANGIAJI DAMU MKOANI RUKWA KUTOKANA NA DHANA POTOFU ZILIZOPO, MADAKTARI WAONYESHA MFANO KWA KUCHANGIA DAMU KATIKA HOSPITALI KUU YA MKOA HUO
![](http://3.bp.blogspot.com/-b_As5MMU8o8/U9TzsH1No4I/AAAAAAAAFt4/3LXCcf3qBHA/s1600/IMG_2508.jpg)
9 years ago
Bongo525 Nov
Haya ndio mambo ambayo Nameless wa Kenya hushindwa kufanya kutokana na kuwa maarufu
![Nameless nje](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Nameless-nje-300x194.jpg)
Maisha ya umaarufu yana raha na karaha zake, na faida na hasara zake.
Katika vitu ambavyo watu maarufu kama wanamuziki na waigizaji huwa wanakosa ni uhuru wa kufanya mambo binafsi kama watu wa kawaida.
Nimetembelea ukurasa wa Instagram wa msanii wa Kenya, Nameless na kukutana na post yake akielezea jinsi alivyojisikia vizuri alipopata uhuru wa kufanya mambo ambayo huwa hawezi kuyafanya akiwa Kenya.
Nameless ambaye yuko Marekani kwenye show amepost picha hii na kuandika:
“The thing I love...
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
Haya Ndio Madhira Aliyokumbana Nayo Faiza Akiwa ‘Air port’ Kutokana na Kushamili Kwa Biashara ya Unga
“Siku nilivyokua nasafiri katika uwanja wetu nikasimamishwa ktk chumba flani hapo air port kuhojiwa na kupewa onyo juu madawa ya kulevya na nikaambiwa kuwa siku Jack alivyo pita walimpa onyo Kama walilo nipa mim matokeo yake ndio ilikua safari yake ya mwisho ndio akakamatwa.
Na hata nilipo fika safari yangu nikahojiwia hivyo hivyo baada ya kufika HK kwa hivyo inaonekana wazi ambavyo hii biashara imekua kubwa Tanzania maana kila unapo pita wana kushuku na mm huwa inanitokea mara kwa mara na...
11 years ago
Bongo511 Jul
Ali Kiba:Nawasaidia wasanii wachanga kutokana na mateso ambayo nimepata