KUWA WA KWANZA UTALII WA NDANI:”TEMBELEA HIFADHI UZAWADIKE”
Baadhi ya wanyama wanopatikana nchini Tanzania kupitia mbuga za hifadhi nchini wakiwa katika moja ya maeneo yao (picha kwa hisani ya Kima safaris. www.kimasafaris.ch).
Ewe Mtanzania tumia fursa hii kutembelea Hifadhi za Taifa ujipatie zawadi kemkem katika kipindi hiki cha kampeni.
Pamoja na kwamba utaburudika, kushangaa na kufurahia kuona...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
Hawa ndio majenerali walioteuliwa kuwa makatibu wakuu Wizara za Maliasili na Utalii na Mambo ya ndani ya nchi

11 years ago
Michuzi06 Jul
MAKAMPUNI YA UTALII YATAKIWA KUTANGAZA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI



10 years ago
Bongo531 Jan
Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond
5 years ago
Michuzi
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII KANYASU AKERWA NA WAVAMIZI WA MAENEO YA HIFADHI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akioneshwa eneo na Afisa Wanyamapori wa Wilaya ya Babati, Felix Mwasenga katika Ushoroba wa Kwakuchinja ambao ni muhimu kwa mapito ya wanyamapori wanaotoka katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire kuelekea HIfadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara ukiwa umevamiwa na baadhi ya wananchi wanaoendesha shughuli za kibinadamu katika wilaya ya Babati mkoani Manyara. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Mhe, Elizabeth Kitundu

Naibu Waziri wa...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYARANDU AAGIZA ASKARI WA MAREKANI KUONDOKA KATIKA HIFADHI
NA LOVENESS BERNARD, Mwanza
Waziri wa Maliasili na Utali, Lazaro Nyalandu amekipiga marufuku kikundi cha wanajeshi wastaafu wa Marekani (Vetpaw) ambacho kinadai kupambana na majangili nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari Waziri Nyalandu alisema kuwa kikundi hicho kimekuwa kikitumia...
11 years ago
VijimamboWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,LAZARO NYALANDU ATEMBELEA OFISI ZA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA (TANAPA)
10 years ago
MichuziWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU AFANYA ZIARA KATIKA VIJIJI VINAVYOZUNGUKA HIFADHI YA RUAHA KUTATUA MIGOGORO YA WANANCHI NA WAWEKEZAJI
11 years ago
Habarileo18 Feb
Washauri maeneo ya misitu kuwa hifadhi
WANANCHI wa Jimbo la Dimani Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, wameitaka serikali kutenga maeneo ya hifadhi ya misitu ili kukabiliana na wimbi kubwa la uharibifu wa misitu ya hifadhi ikiwemo mikoko.