Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa nini ncha ya kaskazini ya dunia inaelekea Urusi kutoka Canada?

Kundi moja la wanasayansi wa Ulaya wanaamini wamegundua sababu inayosababisha kusongea kwa ncha ya kaskazini ya dunia (North Pole).

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mhubiri wa Canada afungwa maisha Korea Kaskazini

Mahakama ya juu zaidi Korea Kaskazini imemhukumu mhubiri kutoka Canada kifungo cha maisha jela na kazi ngumu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?

Experts' views on why North Korea has chosen to provoke the South by destroying the liaison office.

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na mabalozi wa Urusi, Canada na Algeria

001

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. (Picha na OMR).

002

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, baada ya kumaliza...

 

9 years ago

StarTV

Mtu mmoja afariki kwa kukatwa kwa kitu chenye ncha kali

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mwikwabe Mwita mkazi wa Kibasa  wilaya ya tarime mkoani Mara amefariki dunia baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi baada ya kuvamia duka ambalo marehemu alikuwa akifanya kazi ya ulinzi nyakati za usiku

 Akiongea kwa masikitika makubwa ya kuuawa kwa mlinzi wa duka lake na kuporwa mali zote zilizo kuwemo ndani ya duka hilo mmiliki wa duka, Chacha marwa  analiomba jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime na...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA UJIO WA AFISA KUTOKA UBALOZI TANZANIA CANADA, VANCOUVER, BC, KWA AJILI YA KUPROCESS PASSPORT RENEWALS

NAPENDA KUWATAARIFU WATANZANIA WANAOISHI GREATER VANCOUVER AREA, KWAMBA TAREHE 27 HADI 28 NOVEMBA 2015, AFISA KUTOKA UBALOZI WA TANZANIA CANADA (OTTAWA), ATAKUWA MJINI VANCOUVER, BC, KWA AJILI YA KUPROCESS APPLICATIONS KWA AJILI YA PASSPORT RENEWAL. 
UJIO HUU UTAGHARAMIWA NA WATANZANIA WATAKAOHITAJI KURENEW PASSPORT ZAO, GHARAMA HIZI NI FLIGHT NA HOTELI. KWA MAWASILIANO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA PHILIP MWIMANZI KUPITIA NAMBA YA SIMU 16046521864. NI VIZURI TUKAWASILIANA ASAP ILI TUJUE...

 

10 years ago

GPL

SHOGA, ACHA KULAMBA ASALI KWA NCHA YA KISU

Enyi wanawake mlolaaniwa toka kizazi cha nyoka ambacho kila siku mnatudhalilisha wanawake wenzenu. Kuna faida gani kuolewa nawe una hamu zako? leo sitaki salamu ya mtu maana sioni faida ya kuwa ndani ya ndoa na mtu aliye nje. Unaniangalia? Niangalie sana, mimi nasema kwa uso mpana, sikuogopi wala sikuonei haya usiyejua vibaya. Kisa cha kumuuzia mumeo mbuzi kwenye gunia, kama una pepo la ngono ndo’ unakwenda peku? inaudhi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau tunajifunza nini kutoka kwa Diamond?

Wakati mwingine mtu mashuhuri anaweza kutoa somo kwa mamilioni ya watu, ikiwa atafuatiliwa kwa umakini. Hivi ndivyo inavyowapasa Watanzania kutafakari kwa kuangalia nini anachokifanya mwanamuziki Diamond Platnumz hasa katika upande wa kazi yake ya muziki.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwa nini bei ya juisi ya machungwa katika soko la dunia imepanda?

Watu wengi wameonekana kuwa na uhitaji wa maji ya machungwa kufuatia mlipuko wa virusi vya corona huku katazo la usafiri likiwa changamoto kubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani