SHOGA, ACHA KULAMBA ASALI KWA NCHA YA KISU

Enyi wanawake mlolaaniwa toka kizazi cha nyoka ambacho kila siku mnatudhalilisha wanawake wenzenu. Kuna faida gani kuolewa nawe una hamu zako? leo sitaki salamu ya mtu maana sioni faida ya kuwa ndani ya ndoa na mtu aliye nje. Unaniangalia? Niangalie sana, mimi nasema kwa uso mpana, sikuogopi wala sikuonei haya usiyejua vibaya. Kisa cha kumuuzia mumeo mbuzi kwenye gunia, kama una pepo la ngono ndo’ unakwenda peku? inaudhi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SHOGA, NYUKI MKALI KWA ASALI YAKE
9 years ago
StarTV26 Nov
Mtu mmoja afariki kwa kukatwa kwa kitu chenye ncha kali
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mwikwabe Mwita mkazi wa Kibasa wilaya ya tarime mkoani Mara amefariki dunia baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi baada ya kuvamia duka ambalo marehemu alikuwa akifanya kazi ya ulinzi nyakati za usiku
Akiongea kwa masikitika makubwa ya kuuawa kwa mlinzi wa duka lake na kuporwa mali zote zilizo kuwemo ndani ya duka hilo mmiliki wa duka, Chacha marwa analiomba jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime na...
5 years ago
BBCSwahili07 May
Kwa nini ncha ya kaskazini ya dunia inaelekea Urusi kutoka Canada?
10 years ago
GPL
SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!
10 years ago
Mwananchi28 May
Wabunge 42 kulamba Sh3.3 bilioni kwa mwaka
5 years ago
CCM Blog
DIWANI WA SINZA CHADEMA AMALIZA UDIWANI WAKE KWA KWENDA 'ROKAPU' NA KUFUNGULIWA JALADA TAKUKURU KWA KUDAIWA KULAMBA FEDHA ZA KINAMAMA

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sinza kwa tiketi ya Chadema Godfrey Chikandamwali jana, alimaliza udiwani wake kwa kuwekwa 'rokapu' na Polisi na kisha kufunguliwa jalada TAKUKURU, kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori, kwa tuhuma za kukaidi wito wa mkuu huyo wa wilaya na pia kutafuna mamilioni ya fedha za kikundi cha kina mama.
Akizungumza kwenye Kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Mkuu huyo wa Wilaya...
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Afungwa siku thelathini kwa kulamba 'Ice Cream'
11 years ago
GPL
KWA NINI MAPENZI NI ASALI, VILEVILE NI SHUBIRI?
11 years ago
GPL
KWA NINI MAPENZI NI ASALI, VILEVILE NI SHUBIRI?-2