Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa picha: Ziara ya papa Msumbiji

Kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, ameanza ziara rasmi ya kihotoria Barani Afrika wiki hii - akiwa anazitembelea Msumbiji, Madagascar na Mauritius.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kwa Picha: Maisha ya Papa Francis

Hizi hapa ni picha zinazosimulia kwa ufupi maisha ya Papa Francis ambaye ndiye kiongozi wa kwanza wa Kanisa Katoliki kutoka Amerika na pia mfuasi wa kundi Wajesuit.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kutua nchini Jumapili Mei 17 kwa ziara ya siku 3

filipe_nyusiRais Filipe Nyusi wa Msumbiji

Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi anatarajia kuwasili nchini Tanzania Mei 17 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengine anatarajia kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.

Akitoa taarifa ya ziara hiyo leo jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki amesema kuwa Rais Filipe Nyusi atawasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSSI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU

Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais Filipe Jacinto Nyusi...

 

9 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA: Ziara ya Papa Francis Afrika

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anaanza ziara yake ya kwanza Afrika leo na amepangiwa kutua uwanja wa ndege ya JKIA, Nairobi baadaye leo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ziara ya Kikwete Kenya kwa picha

Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa kwenye ziara rasmi ya siku tatu Kenya huku akijiandaa kuondoka mamlakani baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 25. Hizi hapa ni picha kutoka kwa ziara hiyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!

IMG-20151125-WA0024

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.

Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.

Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI KUANZA ZIARA YA KITAIFA NCHINI

Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 17 Mei, 2015 kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu nchini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Mhe. Rais Nyussi atapokelewa na mwenyeji wake Mhe. Rais Kikwete mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Rais Nyusi atakagua Gwaride la Heshima na kupigiwa mizinga 21.

Baada...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ziara ya Papa Francis, Kenya

Serikali ya Kenya imethibitisha kukamilika kwa maandalizi ya kumpokea kiongozi wa kanisa katoliki papa Francis.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maandalizi ya ziara ya Papa Francis

Papa Francis anatarajiwa kuanza ziara yake ya kwanza kabisa barani Afrika Jumatano Novemba 25.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani