RAIS WA MSUMBIJI KUANZA ZIARA YA KITAIFA NCHINI
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 17 Mei, 2015 kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu nchini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Mhe. Rais Nyussi atapokelewa na mwenyeji wake Mhe. Rais Kikwete mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Rais Nyusi atakagua Gwaride la Heshima na kupigiwa mizinga 21.
Baada...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo03 Feb
Rais wa Ujerumani awasili nchini kuanza ziara ya kitaifa
10 years ago
VijimamboRAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSSI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU
10 years ago
Dewji Blog16 May
Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kutua nchini Jumapili Mei 17 kwa ziara ya siku 3
Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji
Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi anatarajia kuwasili nchini Tanzania Mei 17 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengine anatarajia kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
Akitoa taarifa ya ziara hiyo leo jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki amesema kuwa Rais Filipe Nyusi atawasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius...
10 years ago
MichuziRais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia kesho
10 years ago
VijimamboRAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA CHUO CHA DIPLOMASIA, AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA KUZUNGUMZA NA RAIA WA MSUMBIJI WAISHIO NCHINI
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiwajadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia (CFR), Balozi Mwanaidi Maajar huku Mkuu wa Chuo hicho Balozi Mohammed Maundi akisiskiliza wakati viongozi hao wakisubiri kumpokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi alipotembelea Chuoni hapo leo tarehe 18 Mei, 2015 wakati akiendelea na ziara yake ya kitaifa ya siku tatu hapa nchini. Chuo cha Diplomasia kilichopo...
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi
10 years ago
StarTV13 Jan
Papa Francis kuanza ziara nchini Sri Lanka.
Papa Francis amewasili nchini Sri Lanka ambako anatarajiwa kusisitiza umhimu wa mazungumzo baina ya makundi mbalimbali ya imani hasimu za kidini nchini humo.
Pia Papa Francis akiwa nchini humo aanatarajiwa kuhimiza ala la maridhiano wakazi walio wengi wa visiwa vya Sinhalese na wale wachache wa kisiwa cha Tamil.
o que fazer viagra para homensHii ni ziara ya kwanza kwa Papa Francis kutembelea taifa hilo tangu ziara ya kwanza ya Papa ya mwaka 2009.
Rais wa sasa wa Sri Lanka...
10 years ago
Dewji Blog18 May
Rais Nyusi wa Msumbiji apokelewa nchini kwa nderemo na vifijo
11 years ago
Habarileo21 Mar
Rais kuanza ziara Tanga Jumapili
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwasili mkoani Tanga kesho ili kuanza ziara ya siku nne ya kikazi katika baadhi ya maeneo ya mkoani humo. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa amebainisha hayo wakati akiwasilisha taarifa kwa vyombo vya habari kupitia mkutano na wanahabari uliofanyika ofisini kwake jana mchana.