Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa utitiri huo CCM mnatutisha!

Tangu kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM – NEC) kitoe ratiba ya michakato ya uchukuaji fomu kwa wanachama wake wenye shauku ya kutaka kuteuliwa kugombea nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, tumeshuhudia idadi ya watiania ikiongezeka siku hadi siku.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uamuzi huo wa CCM haunisumbui-Moyo

Dar es Salaam. Aliyekuwa mwananchama namba saba wa CCM, Hassan Nassor Moyo amesema hana matatizo na uamuzi wa chama hicho kumvua uanachama kwa kuwa hakutarajia kama angezaliwa na kuwa mwanachama wa chama hicho.

 

10 years ago

Michuzi

MENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu Ndugu Erasmus Rugarabamu kwa niaba ya Menejimenti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa akitoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya ambaye pia ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma kwa ushindi mnono alioupata katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kutafuta mgombea wa ubunge Jimbo la Mbinga Magharibi. Eng. Manyanya alishinda kwa kura 13,276 ambapo mshindi wa ...

 

9 years ago

Michuzi

CCM imethibitisha kuwa iko tayari endapo uchaguzi huo utapangwa tena na si vyenginevyo - Balozi Seif Ali Iddi

Makamu wa Pili wa  Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa ufafanuzi juu ya taarifa za vyombo mbalimbali vya habariWanahabari  wanapaswa kuwa makini zaidi katika utoaji wa Habari zao hasa kipindi hichi ambacho  Zanzibar  inaendelea kutafuta  njia muwafaka ya hatma yake ya baadaye kufuatia Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar { ZEC } kufuta  Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu baada ya kubaini hitilafu kadhaa katika zoezi zima la uchaguzi.Nasaha hizo zimetolewa na Makamu wa Pili wa  Rais wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake

Wanaume wengi wamekutwa na ugonjwa huo zaidi na wanaonekana kupatwa na maafa mabaya.

 

9 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu wa Baseball Tanzania akabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya taifa ya mchezo huo jijini Dar

2

Bw. Alferio Nchimbi Katibu wa Chama cha Mchezo wa Baseball na Softball Tanzania akikabidhi vifaa vya michezo kwa wachezaji wa timu ya mchezo huo ya Tanzania inayotarajia kuondoka kesho kuelekea nchini Uganda kwa ajili kambi ya mafunzo ya Meja League Base Ball Training Camp For Tryout (MLB) yatakayofanyika kuanzia tarehe 23-25 Agosti 2015 ambapo wachezaji watakaochaguliwa kutoka katika kambi hiyo watakwenda nchini Afrika Kusini kwa kwa mafunzo ya wiki mbili na baadaye wachezaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Utitiri wa kodi waikwaza TCCIA

Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), mkoani Lindi kimeishauri Serikali kukabidhi kazi ya ukusanyaji kodi kwa mamlaka husika ili kupunguza mrundikano wa vyombo vinavyokusanya kodi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utitiri wa wasanii wamtisha Madee

KIONGOZI wa kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Ahmad Ally ‘Madee’, amesema muziki wa sasa ni mgumu kutokana na utitiri wa wasanii, hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani