Utitiri wa wasanii wamtisha Madee
KIONGOZI wa kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Ahmad Ally ‘Madee’, amesema muziki wa sasa ni mgumu kutokana na utitiri wa wasanii, hivyo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Polisi wamtisha Lowassa
Na Frederick Katulanda, Mwanza
ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa ameonekana kutishwa na nguvu kubwa inayotumiwa na polisi kudhibiti wafuasi wa chama hicho.
Lowassa amesema anashangazwa na jeshi hilo kumwaga askari wengi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, marehemu Alphonce Mawazo.
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Mwanza jana.
Alisema kitendo cha polisi kudhibiti wafuasi wa...
10 years ago
Mtanzania13 Jun
Wafugaji wamtisha Rais Kikwete
Na Debora Sanja, Dodoma
WAFUGAJI wa Kanda ya Magharibi, wanakusudia kufanya maandamano kwenda Ikulu kwa ajili ya kudai haki yao iwapo Rais Jakaya Kikwete hataitoa kwa umma ripoti ya uchunguzi wa Operesheni Tokomeza.
Wamesema katika kuidai ripoti hiyo ya Tume ya Kijaji, pia watafunga minada yote ya mifugo ya Kanda ya Magharibi inayoundwa na mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi na Rukwa.
Kusudio hilo la kufanya maandamano lilitangazwa jana mjini Dodoma mbele ya waandishi wa habari na Katibu wa...
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Ubaguzi wa rangi wamtisha Chris Ramsey
9 years ago
Mwananchi21 Aug
Ukali wa Van Gaal wamtisha Pedro kutua Manchester Utd
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Walia na utitiri wa kodi nchini
11 years ago
Habarileo24 Apr
Wafanyakazi wagomea utitiri wa serikali
KATIKA Katiba mpya, wafanyakazi nchini hawataki utitiri wa serikali, bali nyongeza ya mishahara ya angalau kima cha chini cha Sh 315,000 na kupunguzwa kwa makato ya kodi.
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Utitiri wa kodi waikwaza TCCIA
10 years ago
Mwananchi20 Jun
Utitiri wa maduka ya dawa tatizo nchini
9 years ago
Dewji Blog14 Oct
Salim Asas alia na utitiri wa kodi
![](http://3.bp.blogspot.com/-7ChM46M9FoY/Vhv3FPEzw6I/AAAAAAAAF68/8tqkdtM5mOU/s640/risala.jpg)
Mkurugenzi wa makampuni ya Asas, Salim Abri akisoma risala fupi kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Titus Kamani hivi karibuni. (Picha na Friday Simbaya).
IRINGA: Mkurugenzi wa makampuni ya Asas, Salim Abri ameiomba serikali kuondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mazao ya maziwa ambayo ni siagi, jibini, samli, cream na maziwa yenye ladha za matunda.
Salim alitoa kilio hicho mbele ya Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani alipotembea kiwanda cha...