Wafugaji wamtisha Rais Kikwete
Na Debora Sanja, Dodoma
WAFUGAJI wa Kanda ya Magharibi, wanakusudia kufanya maandamano kwenda Ikulu kwa ajili ya kudai haki yao iwapo Rais Jakaya Kikwete hataitoa kwa umma ripoti ya uchunguzi wa Operesheni Tokomeza.
Wamesema katika kuidai ripoti hiyo ya Tume ya Kijaji, pia watafunga minada yote ya mifugo ya Kanda ya Magharibi inayoundwa na mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi na Rukwa.
Kusudio hilo la kufanya maandamano lilitangazwa jana mjini Dodoma mbele ya waandishi wa habari na Katibu wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s72-c/shemeji.jpg)
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s640/shemeji.jpg)
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Polisi wamtisha Lowassa
Na Frederick Katulanda, Mwanza
ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa ameonekana kutishwa na nguvu kubwa inayotumiwa na polisi kudhibiti wafuasi wa chama hicho.
Lowassa amesema anashangazwa na jeshi hilo kumwaga askari wengi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, marehemu Alphonce Mawazo.
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Mwanza jana.
Alisema kitendo cha polisi kudhibiti wafuasi wa...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Utitiri wa wasanii wamtisha Madee
KIONGOZI wa kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Ahmad Ally ‘Madee’, amesema muziki wa sasa ni mgumu kutokana na utitiri wa wasanii, hivyo...
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Ubaguzi wa rangi wamtisha Chris Ramsey
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Wengi wamzika Mtoto wa Kiongozi wa Wafugaji Lugoba, Rais atuma rambirambi
Baadhi ya waombelezaji katika msiba huo. Kulia ni Ridhiwani Kikwete mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM akifuatiwa na mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Majid Mwanga, mkuu wa wilaya ya Nachingwea Pololet Mgema na mgombea ubunge Jimbo hilo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Matayo Torongei wakiwa kwenye msiba huo.
Na John Gagarini, Lugoba
Wagombea wa nafasi za uongozi hapa nchini wametakiwa kukubali matokeo mara uchaguzi utakapofanyika Oktoba 25 mwaka huu kwani kuna maisha...
9 years ago
Mwananchi21 Aug
Ukali wa Van Gaal wamtisha Pedro kutua Manchester Utd
10 years ago
VijimamboRAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-MA1_ZFohI7c/VJgW4lraY4I/AAAAAAAAZho/geWMTtNN3d0/s640/D92A4124.jpg)
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT.BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA WAFUGAJI LEO.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wEfe-eW_P48/U_G8E8LO3SI/AAAAAAACnmE/9JtU4Jjc6N8/s72-c/unnamed.jpg)
Rais Kikwete azungumza na Rais Zuma na Rais Kabila Zimbabwe
![](http://3.bp.blogspot.com/-wEfe-eW_P48/U_G8E8LO3SI/AAAAAAACnmE/9JtU4Jjc6N8/s1600/unnamed.jpg)