Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wengi wamzika Mtoto wa Kiongozi wa Wafugaji Lugoba, Rais atuma rambirambi

unnamed (78)Baadhi ya waombelezaji katika msiba huo. Kulia ni Ridhiwani Kikwete mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM akifuatiwa na mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Majid Mwanga, mkuu wa wilaya ya Nachingwea Pololet Mgema na mgombea ubunge Jimbo hilo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Matayo Torongei wakiwa kwenye msiba huo.

Na John Gagarini, Lugoba 

 Wagombea wa nafasi za uongozi hapa nchini wametakiwa kukubali matokeo mara uchaguzi utakapofanyika Oktoba 25 mwaka huu kwani kuna maisha...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WENGI WAMZIKA MTOTO WA KIONGOZI WA WAFUGAJI LUGOBARAIS ATUMA SALAMU

Na John Gagarini, Lugoba  Wagombea wa nafasi za uongozi hapa nchini wametakiwa kukubali matokeo mara uchaguzi utakapofanyika Oktoba 25 mwaka huu kwani kuna maisha mengine baada ya uchaguzi, na   kuendelea kufanya kampeni zao huku wakiendelea kuhubiri na kulinda amani iliyopo kwani wana nafasi kubwa ya kuwashawishi wafuasi wao wasifanye vurugu au kufanya vitendo vinavyosababisha uvunjifu wa amani.  Pia wagombea watakaoshindwa kwenye uchaguzi mkuu wameombwa wakubali matokeo kwani kwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete atuma rambirambi

 Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi kutokana na kifo cha Diwani wa Kata ya Mchafukoge, Jijini Dar es Salaam na mbunge wa zamani wa Dodoma Mjini, Hashim Sagaf.

 

11 years ago

Habarileo

Rais Kikwete atuma rambirambi China

Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais wa China, Xi Jinping, kutokana na vifo vya watu 28 vilivyosababishwa na shambulio la kigaidi hivi karibuni na kujeruhi wengine zaidi ya 130.

 

11 years ago

Habarileo

Rais atuma rambirambi ajali ya Singida

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone kutokana na vifo vya watu 19, wakiwemo polisi wanne na viongozi watatu wa Kijiji.

 

10 years ago

Habarileo

Rais Kikwete atuma rambirambi Saudi Arabia

Marehemu Mfalme Abdullah bin Abdulaziz al-Saud wa Saudi Arabia.RAIS Jakaya Kikwete ameitumia Saudi Arabia salamu za rambirambi, kuomboleza kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud (90) aliyefariki juzi na kuzikwa jana mjini Riyadh.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KWA RAIS WA CHINA KUFUATIA VIFO VYA WACHINA 400 KATIKA AJALI YA BOTI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mheshimiwa Xi Jinping kuombeleza vifo vya zaidi ya watu 400 ambao wamepoteza maisha yao katika ajali ya boti ya kitalii, iliyozama katika Mto wa Yangtze mwanzoni mwa wiki hii.
Meli ya kitalii ya Eastern Star ilizama katika Mto wa Yangtze, karibu na mji wa Jianli, Jimbo la Kati la Hubei, Jumatatu usiku ikiwa na abiria 456 waliokuwa wanafanya safari ya...

 

11 years ago

Michuzi

JK RAIS KIKWETE AMLILIA MAALIM GURUMO, ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara kufuatia kifo cha mwanamuziki maarufu na wa siku nyingi, Muhidini Maalim Gurumo kilichotokea tarehe 14 Aprili, 2014 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa moyo uliomsumbua kwa muda mrefu. “Nimesikitishwa na kuhuzunishwa na taarifa za kifo cha...

 

11 years ago

CloudsFM

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI AJALI YA BASI LA MORO BEST

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi kufuatia ajali iliyotokea tarehe 30 Julai, 2014 katika eneo la Pandambili, Wilayani Kongwa na kuua watu wapatao 18.

Katika ajali hiyo, watu 13 walifariki katika eneo la ajali, na majeruhi wapatao 56 walifikishwa hospitalini. Kati ya majeruhi hao hadi sasa waliolazwa ni 30 na wengine wameruhusiwa baada ya kupata matibabu.

Rais amemuomba Dkt. Nchimbi kumfikishia...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi Ajali ya Basi la New Force Iringa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi. Amina Masenza kufuatia ajali ya basi la kampuni ya New Force kugongana na lori, na kusababisha vifo vya watu 12, na wengine 15 kulazwa Hospitali.
Ajali hiyo imetokea tarehe 18 Desemba, 2015 Majira ya saa nane mchana katika Kijiji cha Mahenge, Wilaya ya Kilolo Mkoani IRINGA ambapo Basi la kampuni ya New Force lenye namba T 483 CTF lililokuwa limebeba abiria 49 limegongana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani