WENGI WAMZIKA MTOTO WA KIONGOZI WA WAFUGAJI LUGOBARAIS ATUMA SALAMU
Na John Gagarini, Lugoba Wagombea wa nafasi za uongozi hapa nchini wametakiwa kukubali matokeo mara uchaguzi utakapofanyika Oktoba 25 mwaka huu kwani kuna maisha mengine baada ya uchaguzi, na kuendelea kufanya kampeni zao huku wakiendelea kuhubiri na kulinda amani iliyopo kwani wana nafasi kubwa ya kuwashawishi wafuasi wao wasifanye vurugu au kufanya vitendo vinavyosababisha uvunjifu wa amani. Pia wagombea watakaoshindwa kwenye uchaguzi mkuu wameombwa wakubali matokeo kwani kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Wengi wamzika Mtoto wa Kiongozi wa Wafugaji Lugoba, Rais atuma rambirambi
Baadhi ya waombelezaji katika msiba huo. Kulia ni Ridhiwani Kikwete mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM akifuatiwa na mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Majid Mwanga, mkuu wa wilaya ya Nachingwea Pololet Mgema na mgombea ubunge Jimbo hilo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Matayo Torongei wakiwa kwenye msiba huo.
Na John Gagarini, Lugoba
Wagombea wa nafasi za uongozi hapa nchini wametakiwa kukubali matokeo mara uchaguzi utakapofanyika Oktoba 25 mwaka huu kwani kuna maisha...
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Samata atuma salamu Malawi
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Malope atuma salamu Mwanza
MWIMBAJI wa nyimbo za injili wa kimataifa, Rebecca Malope, ametoa wito kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha hilo linalotarajia kufanyika Mei 4...
11 years ago
Michuzi30 Apr
10 years ago
MichuziMALINZI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI SAFA
Katika salamau zake kwa Dr. Jordan, Malinzi amesema nchi ya Afrika Kusini imepatwa na pigo kubwa katika tasnia ya mpira wa miguu, kufuatia kifo cha Mashoeu aliyefariki dunia kwa...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Mazishi ya Mabina kesho,JK atuma salamu
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI IRELAND
Hayati Reynolds ambaye amefariki akiwa na miaka 81, alikuwa Waziri Mkuu wa nane wa nchi hiyo kwa miaka mitatu kuanzia mwaka 1992. Atakumbukwa kwa kuanzisha mchakato wa kuleta amani Ireland Kaskazini dhidi ya kundi la IRA.
Waziri Mkuu Pinda ambaye aliwasili jana (Alhamisi, Agosti 28, 2014) jijini Dar es Salaam akitokea Dodoma,...
10 years ago
Habarileo23 Nov
JK atuma salamu za rambirambi kwa vifo vya waandishi
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kuomboleza vifo vya waandishi wa habari, Innocent Munyuku wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd na Baraka Karashani, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa).
11 years ago
Habarileo15 Jan
Kikwete atuma salamu za rambirambi kifo cha Liundi
RAIS Jakaya Kikwete ameeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha ghafla cha aliyekuwa msajili wa kwanza wa vyama vya siasa nchini, George Liundi kilichotokea Januari 12 mwaka huu nyumbani kwake Keko, mjini Dar es Salaam.