Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI IRELAND

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametumua salamu za rambirambi kwa Serikali ya Ireland kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Bw. Albert Reynolds.
Hayati Reynolds ambaye amefariki akiwa na miaka 81, alikuwa Waziri Mkuu wa nane wa nchi hiyo kwa miaka mitatu kuanzia mwaka 1992. Atakumbukwa kwa kuanzisha mchakato wa kuleta amani Ireland Kaskazini dhidi ya kundi la IRA.
Waziri Mkuu Pinda ambaye aliwasili jana (Alhamisi, Agosti 28, 2014) jijini Dar es Salaam akitokea Dodoma,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mheshimiwa Rajabu Rutengwe kuomboleza vifo vya watu 11 ambapo wengine kadhaa walijeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 27 Novemba, 2014.

Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Mkanyageni Mkoani Tanga baada ya basi dogo aina ya Toyota Coaster Na. T 410 BJD iliyokuwa ikitoka Tanga Mjini kuelekea Lushoto kugongana na Lori aina ya Scania Na. T 605...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MKUU WA MKOA WA TABORA KUFUATIA AJALI ILIYOTOKEA HIVI KARIBUNI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mheshimiwa Fatma Mwasa kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 19 Agosti, 2014 katika Kijiji cha Mlogolo, Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora.
Ajali hiyo iliyotokea katika Kijiji cha Mlogolo Wilayani Sikonge, ilihusisha basi la abiria la Kampuni ya Sabena lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Mwanza ambalo lililogongana uso kwa uso na basi lingine la...

 

5 years ago

CCM Blog

TANZIA: WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MH. BALOZI DKT. AUGUSTINE MAHIGA AFARIKI DUNIA...RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo alfajiri tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma.

Mhe. Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake Jijini Dodoma na amefikishwa hospitali akiwa tayari ameshafariki dunia.
Mhe. Rais Magufuli ametoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu
Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba. Marehemu Mufti amefariki leo 15/6/2015 asubuhi katika hospitali ya TMJ – DSM alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa sukari na shinikizo la damu (pressure). "Kifo...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,kufuatia vifo vya watu 11 katika ajali ya basi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa Paschal Mabiti,kuomboleza vifo vya watu 11 ambao wamepoteza maisha yao katika ajali ya basi iliyotokea mkoani humo Jumatatu, Aprili 21, 2014.
Katika salamu hizo, Rais Kikwete amesema kuwa ni jambo la kusikitisha  kuwa ajali zabarabarani zinaendelea kuchukua maisha ya watu wasiokuwa na hatia.
“Nimepokea kwa huzuni nyingi taarifa ya ajali hiyo ambayo...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani