Mazishi ya Mabina kesho,JK atuma salamu
Wakati maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoani hapa na Diwani wa Kata ya Kisesa, Clement Mabina yakifanyika kesho katika kilima cha Kanyama, ikiwa ni eneo ambalo alilouawa na kundi la watu Jumapili iliyopita,Rais Jakaya Kikwete ametuma salaam za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kutokana na msiba huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi30 Apr
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Malope atuma salamu Mwanza
MWIMBAJI wa nyimbo za injili wa kimataifa, Rebecca Malope, ametoa wito kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha hilo linalotarajia kufanyika Mei 4...
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Samata atuma salamu Malawi
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1GXy87GtxeI/VTeR5vmaMjI/AAAAAAAHSh8/9jlWb6LX7io/s72-c/MMGN8022.jpg)
MALINZI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI SAFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-1GXy87GtxeI/VTeR5vmaMjI/AAAAAAAHSh8/9jlWb6LX7io/s1600/MMGN8022.jpg)
Katika salamau zake kwa Dr. Jordan, Malinzi amesema nchi ya Afrika Kusini imepatwa na pigo kubwa katika tasnia ya mpira wa miguu, kufuatia kifo cha Mashoeu aliyefariki dunia kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-l3u18glzL0Q/VAAqQp2cuCI/AAAAAAAGRd4/Gv8fgitoimA/s72-c/albert-reynolds-1.jpg)
WAZIRI MKUU ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI IRELAND
![](http://2.bp.blogspot.com/-l3u18glzL0Q/VAAqQp2cuCI/AAAAAAAGRd4/Gv8fgitoimA/s1600/albert-reynolds-1.jpg)
Hayati Reynolds ambaye amefariki akiwa na miaka 81, alikuwa Waziri Mkuu wa nane wa nchi hiyo kwa miaka mitatu kuanzia mwaka 1992. Atakumbukwa kwa kuanzisha mchakato wa kuleta amani Ireland Kaskazini dhidi ya kundi la IRA.
Waziri Mkuu Pinda ambaye aliwasili jana (Alhamisi, Agosti 28, 2014) jijini Dar es Salaam akitokea Dodoma,...
10 years ago
Habarileo23 Nov
JK atuma salamu za rambirambi kwa vifo vya waandishi
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kuomboleza vifo vya waandishi wa habari, Innocent Munyuku wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd na Baraka Karashani, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa).
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Jul
JK atuma salamu za rambirambi kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala
Na Mwamvua Mwinyi
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine, Nkwabi Ng’wanakilala.
Ng’wanakilala alifariki dunia Juni 27, mwaka huu katika hospitali ya rufani Bugando, jijini Mwanza, baada ya kusumbuliwa na figo.
Katika salamu zilizotumwa kwa Mkuu wa chuo hicho, Askofu Trcisius Ngalalekumtwa, Rais Kikwete, alisema kifo hicho kimelinyang’anya taifa mwana taaluma mahiri wa habari na mtumishi...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Kikwete atuma salamu za rambirambi kifo cha Liundi
RAIS Jakaya Kikwete ameeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha ghafla cha aliyekuwa msajili wa kwanza wa vyama vya siasa nchini, George Liundi kilichotokea Januari 12 mwaka huu nyumbani kwake Keko, mjini Dar es Salaam.
11 years ago
Michuzi15 Apr
JK RAIS KIKWETE AMLILIA MAALIM GURUMO, ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI