Kwani dhambi 2015 tukijitoe michezo yote?
Leo ni siku ya 349 kwa mwaka huu kabla ya kuhitimisha siku 365 na robo. Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/Nzigilwa-bishop.png?width=650)
ASKOFU NZIGIRWA ASICHUME DHAMBI JUU YA DHAMBI
9 years ago
Bongo527 Oct
Hizi ndizo timu duniani (michezo yote) zenye thamani zaidi kwa mujibu wa Forbes
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/i146BzP-e58/default.jpg)
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Video ya magoli yote manne ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015
December 19 2015 kwenye game ya ligi kuu Tanzania bara Yanga vs Stand United uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ambapo hadi dakika 90 zinamalizika Yanga 4 – 0 Stand United, Matokeo ambayo yaliifanya Yanga kutimiza jumla ya point 30 na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi, tazama hii video hapa chini ujionee magoli yote… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]
The post Video ya magoli yote manne ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015 appeared first on...
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Takwimu ya wajane duniani kwa mwaka 2015 imenifikia, hii hapa yote..
Kuna takwimu za ishu kama magonjwa, rushwa, ajali huwa zinapewa kipaumbele sana kwenye vichwa vya habari kila kona, lakini takwimu nyingine hata kama zipo ni adimu kukutana nazo… Leo ni December 18 2015, tunahesabu wiki mbili tu kuimaliza 2015, takwimu za wajane zimenifikia na naanza kukuchambulia sasahivi. Ripoti ya Loomba Foundation World Widows inaonesha mpaka sasa […]
The post Takwimu ya wajane duniani kwa mwaka 2015 imenifikia, hii hapa yote.. appeared first on...
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Tuendeleze mazuri katika michezo 2015
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Vyama vya michezo vilivyojipanga 2015
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-t5y4kRSdAKs/Vcs8ndyfwVI/AAAAAAAHwNw/ywQE-WPQgMI/s72-c/images.jpg)
KATIBU MKUU KIONGOZI KUFUNGUA MICHEZO YA SHIMIWI 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-t5y4kRSdAKs/Vcs8ndyfwVI/AAAAAAAHwNw/ywQE-WPQgMI/s1600/images.jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michezo ya Wizara, Idara zinazojitegemea ,Wakala wa Serikali na Ofisi za wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) itakayoanza Jumamosi ijayo(15.8.2015) mjini Morogoro.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo jijini Dar es salaam na Kaimu Katibu Mkuu SHIMIWI Moshi Makuka, mashindano ya mwaka huu yatafanyika kwa wiki mbili.
Amesema kuwa siku ya...