Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwanini Naiona Serikali Ya John Magufuli Inakuja

Ndugu zangu, Nionavyo, Nchi yetu iko katika hali ya kama mgonjwa anayetafuta mawili makubwa; nafuu na uimara wa afya yake. Kama upepo kinzani…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AKUTANA NA MAKATIBU WAKU WA SERIKALI LEO IKULU



Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na kupanga...

 

9 years ago

Michuzi

ASKOFU CHARLES GADI AONGOZA UMOJA WA MAKANISA YA DODOMA KUMUOMBEA RAIS DK.JOHN MAGUFULI NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

 Viongozi wa Makanisa mbalimbali ya mkoani Dodoma wakiwa wameshika picha za Rais Dk.John Magufuli, Waziri Mkuu, Majaliwa Kasimu Majaliwa na Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu wakati wa kufanya maombi ya kuwaombea yaliyofanyika mjini Dodoma juzi. Maombi hayo yaliongozwa na Askofu wa Kanisa la Good News for All Ministry International la jijini Dar es Salaam. Viongozi hao na waumini wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maombi hayo.Picha ya pamoja ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yasitisha matumizi ya picha ya Rais wa awamu ya 5 Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena

assah

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene.

Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma  na  wananchi  kwa ujumla  kwamba  imesitisha    matumizi  ya  picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John  Pombe Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena.

Awali   majira ya saa 6: 00  jana mchana Novemba 6, mwaka huu Serikali ilitangaza kuhusu kuanza rasmi kwa matumizi ya picha ya Rais.

Aidha,   Serikali  imesema kwamba  itazitangazia  ofisi...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU JOHN CHACHA AMPONGEZA DKT JOHN MAGUFULI KWA USHINDI WA KUIPEPERESHA BENDERA YA CCM KUWANIA URAIS 2015

Mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi -CCM Dkt John Magufuli akipongezwa na mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio one John Chacha siku chache kabla ya Dkt Magufuli kuchukuwa fomu ya kutia nia kugombea nafasi ya Urais kupitia chama cha CCM,ambapo aliagana na mwandishi huyo akiwa njiani kuelekea mikoa ya Geita,Mwanza na Kagera.Pichani ilikuwa ni nje ya ofisi za CCM makao makuu mjini Dodoma,John Chacha anamtakia kila lakheri na afya njema katika safari yake ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Dr. Wilibrod Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. John Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa


Dr. Wilibrod Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. John Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwaDr. Slaa akihojiwa na Radio five ya Arusha jioni hii nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuli kuwania Urais. 
Ameongelea mengi lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamtia Magufuri ndani ili kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa. 
Chanzo: Radio five,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni kwanini serikali inamwogopa Kisena?

BOB Kisena amepata umaarufu kutokana na kashfa zenye utata na za hovyo.  Moja ya sababu zilizofanya awe maarufu ni ile hali ya kujipatia lililokuwa Shirika la Usafiri Dar es Salaam...

 

11 years ago

Mwananchi

Kwanini uchaguzi Serikali za Mitaa uahirishwe?

Bunge la Katiba kwa mara nyingine limechafuka baada ya kuahirishwa juzi jioni kutokana na kuzuka vurugu ndani ya Bunge hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini serikali haiwataji vigogo wahalifu?

UBAYA hatima yake mbaya kwani huwa na mwisho mbaya. Twakumbushwa kwamba nia au dhamira mbaya, aghalabu haiwezi kufanikiwa. Mhalifu ni mtu anayekwenda kinyume na taratibu au sheria za nchi. Sheria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani