Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWELI SHILINGI BILIONI 306 ZIMELIWA?

Spika wa Bunge , Anne Makinda. Nimshukuru Mungu kwa kuniweka hai mimi na wewe msomji wa makala haya, hakika hatuna budi kumshukuru milele. Wiki iliyopita gumzo la mjini au pengine nchini lilikuwa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow ambapo kuna madai kuwa kuna mabilioni ya fedha ‘wakubwa’ wamezichota bila hata kulipia kodi ya nchi.
Zimetajwa kuwa ni shilingi bilioni 306! Ni fedha nyingi sana ambazo eti kuna watu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Shilingi bilioni 800/- zayeyuka

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa AssadMDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, amebaini kuyeyuka kwa fedha za kodi Sh bilioni 835.974, katika mizigo iliyofika katika Bandari ya Dar es Salaam na kutakiwa kwenda katika nchi nyingine.

 

10 years ago

Habarileo

TRL yakopeshwa shilingi bilioni 12

KAMPUNI ya Reli ya Kati (TRL) imepata mkopo wa Sh bilioni 12 kutoka Benki ya Maendeleo (TIB) kwa ajili ya kuongeza mtaji wa uendeshaji.

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9


Na WAMJW-Dar es Salaam

Serikali  imepokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa watumishi wa afya na vifaa tiba kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye maambukizi ya COVID-19.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo wakati akipokea msaada wa fedha na lita 1,250 za vitakasa mikono ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali za...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAZINDUA PROMOSHENI YA SHILINGI BILIONI 30

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa(katikati)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa uzinduzi wa Promosheni mpya inayojulikana kama JayMillions itakayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kujishindia zawadi mbalimbali zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30/- Ili kujua kama umeshinda mteja anatakiwa kutuma SMS moja tu yenye neno “JAY” kwenda namba 15544 kila siku.Kushoto...

 

9 years ago

Michuzi

NMB Yapata Faida shilingi bilioni 77

Mkurugenzi  Mtendaji  wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas.

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM YALIPA KODI YA SHILINGI BILIONI 46.4



Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi hao kuhusiana na mwelekeo wa kampuni ambapo pia alitoa takwimu za malipo ya kodi serikalini 2014/2015,Vodacom imelipa kodi ya mapato inayofikia shilingi bilioni 46.4 na kukusanya kodi ya mapato, kwa niaba ya serikali kodi ya ongezeko la thamani (VAT) zaidi ya shilingi bilioni 108.6 na Kodi ya zuio inayofikia kiasi cha shilingi bilioni 81.5. kwa mwaka wa fedha uliomalizika...

 

5 years ago

Michuzi

Wateja Tigo Pesa wavuna shilingi bilioni 2.7

 Kampuni inayoongoza kwa mawasiliano ya kidigitali nchini Tanzania, Tigo, leo imetangaza kuwalipa wateja wake wanaotumia huduma ya kifedha ya Tigo Pesa kiasi cha shilingi bilioni 2.7 kama faida iliyopatikana kwenye robo ya kwanza ya mwaka 2020 iliyoishia tarehe 31 Machi 2020. Hii itakuwa ni mara ya 24 tangu kampuni izindue utaratibu huu wa kutoa gawio kwa wateja wake.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha kupitia simu za mkononi wa Tigo Tanzania, Angelica Pesha, amesema Tigo imewalipa...

 

9 years ago

GPL

NMB YAPATA FAIDA SHILINGI BILIONI 77‏

Mkurugenzi Mtendaji wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani