TRL yakopeshwa shilingi bilioni 12
KAMPUNI ya Reli ya Kati (TRL) imepata mkopo wa Sh bilioni 12 kutoka Benki ya Maendeleo (TIB) kwa ajili ya kuongeza mtaji wa uendeshaji.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM02 Apr
10 years ago
Habarileo24 May
Shilingi bilioni 800/- zayeyuka
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, amebaini kuyeyuka kwa fedha za kodi Sh bilioni 835.974, katika mizigo iliyofika katika Bandari ya Dar es Salaam na kutakiwa kwenda katika nchi nyingine.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUnW9lHsdForG07*60qLRT7Rx2VmU0y9udUDlK6mT90Ng2ZtLVPMPEU0CXAC2zf4ZyreeodXXnQfDy5nmU43NoE5/001.JAY.jpg)
VODACOM YAZINDUA PROMOSHENI YA SHILINGI BILIONI 30
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa(katikati)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa uzinduzi wa Promosheni mpya inayojulikana kama JayMillions itakayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kujishindia zawadi mbalimbali zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30/- Ili kujua kama umeshinda mteja anatakiwa kutuma SMS moja tu yenye neno “JAY†kwenda namba 15544 kila siku.Kushoto...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycMjRUnIWiz6QFglWl2u2SAljFkQ3-LSiHOldFfsLXZmmy3I4HcrfTac8f**qVIKr05jg5nWGxy-fJAGYBiuEzmo/AAN.jpg?width=650)
KWELI SHILINGI BILIONI 306 ZIMELIWA?
Spika wa Bunge , Anne Makinda. Nimshukuru Mungu kwa kuniweka hai mimi na wewe msomji wa makala haya, hakika hatuna budi kumshukuru milele. Wiki iliyopita gumzo la mjini au pengine nchini lilikuwa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow ambapo kuna madai kuwa kuna mabilioni ya fedha ‘wakubwa’ wamezichota bila hata kulipia kodi ya nchi.
Zimetajwa kuwa ni shilingi bilioni 306! Ni fedha nyingi sana ambazo eti kuna watu...
5 years ago
MichuziSerikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9
Na WAMJW-Dar es Salaam
Serikali imepokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa watumishi wa afya na vifaa tiba kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye maambukizi ya COVID-19.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo wakati akipokea msaada wa fedha na lita 1,250 za vitakasa mikono ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali za...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xXpt_vsKHt8/VXWupyOtPII/AAAAAAAHdCg/5HvXfypCZhM/s72-c/004.TAX.jpg)
VODACOM YALIPA KODI YA SHILINGI BILIONI 46.4
![](http://2.bp.blogspot.com/-xXpt_vsKHt8/VXWupyOtPII/AAAAAAAHdCg/5HvXfypCZhM/s640/004.TAX.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_7BMNEf-HD0/Vc2ppMvdGOI/AAAAAAAHwhQ/vweLhqC1h8s/s72-c/unnamed.jpg)
NMB Yapata Faida shilingi bilioni 77
![](http://4.bp.blogspot.com/-_7BMNEf-HD0/Vc2ppMvdGOI/AAAAAAAHwhQ/vweLhqC1h8s/s640/unnamed.jpg)
9 years ago
GPLNMB YAPATA FAIDA SHILINGI BILIONI 77
Mkurugenzi Mtendaji wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas. ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx22lCTHgFCpgMTJJpGd7ZWQEJ1HeO2eFNr5j6VNLQ*hn1bzHU6sONdRfgTicGC9aNYKj0HOyIP*wru4g8Zf02mri/001.TAX.jpg?width=650)
VODACOM YALIPA KODI YA SHILINGI BILIONI 46.4
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza(kulia) akifanyiwa mahojiano na Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha ITV, IssaKwissa Mwaifuge baada ya kuongea na waandishi wa habari kuhusiana na mwelekeo na malengo ya kampuni ambapo alitoa takwimu za malipo ya kodi serikalini 2014/2015  ambapo alibainisha kuwa Kodi ya malipo iliyolpwa ni kiasi cha shilingi bilioni 46.4 na kukusanya kodi ya mapato,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania