Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lady Jaydee na Atemi watoa kibao kipya

Msanii wa Kenya, Atemi na mwanamuziki wa Tanzania Lady Jaydee wametoa kibao kipya kwa jina 'MOYO'.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee: Mko tayari kwa kitu kipya Nov. 28?

Ni single mpya na video mpya! Hilo ndio jibu la alilouliza Lady Jaydee kwa mashabiki wake kwenye ukurasa wa Facebook; Are you ready for something new?! How about November 28th?! Stay tuned.” Picha na Osse Sinare Akiongea na East Africa Radio hivi karibuni, Lady Jaydee aliutaja wimbo mpya atakaoutoa mwishoni mwa mwezi huu. “Mwezi wa […]

 

10 years ago

Michuzi

Miss Rahima Jackson na Jae Star, watoa kibao kipya cha ''MALAIKA FT!"

Sikiliza kibao kipya cha ''MALAIKA FT''kutoka kwa Miss Rahima Jackson akishirikiana na Jae Star, waTanzania ndani ya Wasahington Seattle, Nchini MAREKANI..!

 

9 years ago

Michuzi

Lady JayDee Ndani ya London

Na Freddy Macha, London Mwanamuziki na mwimbaji mashuhuri wa Tanzania, Lady JayDee, anatazamiwa kutua jijini London kesho kutwa Alhamisi tayari kwa onesho kabambe Jumamosi. Akizungumza nami Jumatatu usiku, promota wa shoo hilo, Frank Leo, alisema anawaomba Watanzania na marafiki zao wajiunge kumshangilia Mtanzania mwenzetu tarehe 5 Desemba. Kiingilio cha paundi 20 ( wastani wa shilingi 45,000) kitatozwa katika holi maridadi la Oasis Banqueting Suite mtaa wa Barking, Mashariki ya London. Bango la shoo ya 5 Desemba 2015

 

10 years ago

Vijimambo

Lady Jaydee - Forever (New Single)

Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa "Forever". Hii ni baada ya Kimya cha muda mrefu kidogo na siku ya Ijumaa ndio itakuwa official video launch day pale M.O.G bar & Restaurant. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania

 

11 years ago

GPL

NDINGA MPYA YA LADY JAYDEE

Mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo 'Lady Jaydee' akiwa katika pozi na mkoko wake mpya aina ya Range Rover Evogue.

 

10 years ago

Mtanzania

Mwasiti: Lady Jaydee ananivutia

MwasitiNA RHOBI CHACHA

MWASITI Almas kama anavyofahamika katika muziki wa Bongo Fleva, ameibuka na kudai kwamba anavutiwa zaidi na msanii mwenzake, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’.

Msanii huyo mwenye sauti nzuri katika nyimbo zake, alisema yeye ni msanii anayevutiwa na wasanii wanaojitambua na wanaofanya vema katika kazi zao za muziki, kama afanyavyo Jaydee ‘Binti Machozi’.
“Yaani mimi huwa sina choyo ya kusifia kama msanii mwenzangu anafanya vema namsifia, sijali nani atasema nini, napenda kazi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani