LAFARGE TANZANIA YAKABIDHI MRADI WA MAJI KWA KIJIJI CHA SONGWE VIWANDANI, MBEYA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Lafarge Tanzania (Mbeya Cement), Catherine Langreney na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyirembe Sabi wakikata utepe kuzindua mradi wa maji uliojengwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwaondelea tatizo la uhaba wa maji safi na salama wananchi wa kijiji cha Songwe Viwandani mkoani Mbeya katika hafla iliyofanyika kijijini hapo mwishoni mwa wiki. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-s18MPlBsAHE/UyxJxwUUHyI/AAAAAAAFVWM/SAFBg2Cdd3w/s72-c/001.jpg)
WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA
![](http://3.bp.blogspot.com/-s18MPlBsAHE/UyxJxwUUHyI/AAAAAAAFVWM/SAFBg2Cdd3w/s1600/001.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Uio9JO2qkNg/UyxJzDOIsKI/AAAAAAAFVWU/10LAS6ZwszU/s1600/002.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-S2HUNEZOPgc/UyxJyyUiuAI/AAAAAAAFVWY/nmi0TYV91W8/s1600/003.jpg)
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-YSbZ-gToqN0/VTtAnpZV86I/AAAAAAAA7fg/-3nKYZwi5f4/s72-c/AMI%2B1.jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAJI MH AMOS MAKALLA AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KIJIJI CHA MKONGO NAKAWALE
![](http://1.bp.blogspot.com/-YSbZ-gToqN0/VTtAnpZV86I/AAAAAAAA7fg/-3nKYZwi5f4/s1600/AMI%2B1.jpg)
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa Maji kijiji cha Mkongo Nakawale ambao watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.
Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe 12 mei mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba...
11 years ago
MichuziWAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.
9 years ago
Dewji Blog24 Dec
Mradi wa maji wa sh Milioni 343 wazinduliwa kijiji cha Mabogini, RC Makalla ataka vyanzo vya maji vitunzwe
![](http://1.bp.blogspot.com/-sq8hYuBdAsQ/VnqQ4oM226I/AAAAAAAAJWU/RsmzTklLDGg/s640/1.jpg)
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla mwenye miwani akizindua huduma ya maji katika kijiji cha Mabogini, mkoani Kilimanjaro wenye thamani ya Sh Milioni 343.
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
ZAIDI ya wananchi 3000 wa kijiji cha Mabogini, kitongoji cha Shabaha, mkoani Kilimanjaro, watanufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya kupelekewa mradi wenye thamani ya Sh Milioni 343. Mradi huo uliozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, umesimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Cfi2vLT82Tw/VW6DYoaB8rI/AAAAAAAAQTY/s9NpqO6vhNw/s72-c/E86A9060%2B%2528800x533%2529.jpg)
HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA(TANAPA) KUPITIA UJIRANI MWEMA WAKABIDHI MRADI WA MAJI KATIKA KIJIJI CHA ASHIRA WILAYA YA MOSHI
![](http://4.bp.blogspot.com/-Cfi2vLT82Tw/VW6DYoaB8rI/AAAAAAAAQTY/s9NpqO6vhNw/s640/E86A9060%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-M0oJ0hsnqRg/VW6DjBCAk2I/AAAAAAAAQUg/CynatgvE-xk/s640/E86A9108%2B%2528800x450%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-xKmu2jaHWfI/VW6DjwzVRgI/AAAAAAAAQUs/u782CEaSjJk/s640/E86A9116%2B%2528800x533%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog03 Jun
Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia ujirani mwema wakabidhi mradi wa maji katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi
![](http://4.bp.blogspot.com/-Cfi2vLT82Tw/VW6DYoaB8rI/AAAAAAAAQTY/s9NpqO6vhNw/s640/E86A9060%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-M0oJ0hsnqRg/VW6DjBCAk2I/AAAAAAAAQUg/CynatgvE-xk/s640/E86A9108%2B%2528800x450%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-xKmu2jaHWfI/VW6DjwzVRgI/AAAAAAAAQUs/u782CEaSjJk/s640/E86A9116%2B%2528800x533%2529.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10