Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Laif ni denja, haina mjanja

Ule mzuka ambao sikuwa nao wa kwenda mamtoni, unaanza kama kutoweka taratibu. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TICHA, DENTI ANAJIFANYAJE MJANJA?

Oyaa, mambo niaje madenti?
Ni wikiendi nyingine tena tunakutana mitaa hii kwa ajili ya kupeana mbili tatu za kushtuana wakati huu ambao wote tunalisongesha gurudumu la maendeleo ya taifa letu. Kuna watu wengine wanafikiri wanafunzi hawana mchango kwa taifa hili, siyo kweli. Madenti wana mchango mkubwa sana, kuanzia wale wa msingi, sekondari, vyuo hadi elimu ya juu, lakini bahati mbaya wengi wao huwa hawajijui kama wana kitu...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA yafikiksha Kampeni ya Sirubuniki Mjanja haingizwi Chaka Mkoani Kagera

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Kagera Profesa Faustine Kamuzora ameiopongeza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuja kwa kampeni ya sirubuniki Mjanja Haingizwi Chaka.
Profesa Kamuzora ameyasema hayo wakati akifungua semina ya Kamati ya Amani Mkoa wa Kagera iliyoandaliwa na TCRA kutoa Elimu ya Kujikinga na uhalifu unapotumia huduma za mawasiliano.
Katibu Tawala Profesa Kamuzora amewaomba viongozi wa dini waunge mkono serikali kupitia TCRA kueneza elimu ya Mawasiliano.
Amesema viongozi...

 

10 years ago

Habarileo

‘PAP haina uhusiano na familia ya JK’

KAMPUNI ya PanAfrica Power Resources (PAP) imekanusha umiliki wake kuwa na uhusiano na familia ya Rais Jakaya Kikwete kama ilivyovumishwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hospitali Tumbi haina CT Scan

HOSPITALI ya Rufaa ya Tumbi iliyopo wilayani Kibaha, mkoani Pwani, inakabiliwa na ukosefu wa kompyuta ya Tomography (CT Scan), hali inayosababisha ongezeko la vifo vya majeruhi wa ajali. Ukosefu wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool haina mashaka na Gerrard

Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amesema ana imani na Steven Gerrard ingawa walipoteza mchezo

 

9 years ago

BBCSwahili

WHO:Sierra Leone haina Ebola

Maelfu ya watu wa Sierra Leone wameteremka katika barabara za mji mkuu, Freetown, kusherehekea kuwa zimepita siku 42 bila ya mtu yeyote kuuguwa ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Liberia haina Ebola tena

Shirika la Afya Duniani, WHO, limetangaza rasmi kwamba hakuna tena Ebola nchini Liberia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani