Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA yafikiksha Kampeni ya Sirubuniki Mjanja haingizwi Chaka Mkoani Kagera

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Kagera Profesa Faustine Kamuzora ameiopongeza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuja kwa kampeni ya sirubuniki Mjanja Haingizwi Chaka.
Profesa Kamuzora ameyasema hayo wakati akifungua semina ya Kamati ya Amani Mkoa wa Kagera iliyoandaliwa na TCRA kutoa Elimu ya Kujikinga na uhalifu unapotumia huduma za mawasiliano.
Katibu Tawala Profesa Kamuzora amewaomba viongozi wa dini waunge mkono serikali kupitia TCRA kueneza elimu ya Mawasiliano.
Amesema viongozi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AANZA KAMPENI MKOANI KAGERA

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la Buseresere, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na kampeni leoVijana wa Buseresere, wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samaia Suluhu Hassan, msafara wake uliposimamishwa na vijana katika eneo hilo wakati akiwa  njiani kutoka Geita kwenda Bukoba mkoani Kagera leoWananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AMALIZANA NA KAMPENI ZAKE KAGERA,KESHO KUUNGURUMA MKOANI GEITA

 Wananchi wa mji wa Ngara na vitongoji vyake wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya posta mjini humo,huku wakishangilia wakati Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba ridhaa ya kuwa Rais na kuiongoza nchi Tanzania katika awamu ya tano.Dkt Magufuli amekamilisha mikutano yake ya kampeni zake katika mkoa wa Kagera wenye jumla ya majimbo 9 ya Uchaguzi. PICHA NA MICHUZI JR-KAGERA
 Sehemu ya umati wa watu ulikuwa umefika kwenye mkutano wa kampeni wa Dkt...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA AANZA KAMPENI MKOANI KAGERA LEO, AWANADI KAGASHEKI NA MWIJAGE

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la Buseresere, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na kampeni leo.Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera leo.Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipozunguza na...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE KAGERA, KESHO KUUNGURUMA MKOANI GEITA



1
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mpya jukwaani kwa kupiga Push Up kama kumi hivi ili kuwadhihirishia wananchi wa Mjini Karagwe mkoani Kagera  kuwa yuko fiti kiafya ili kuwatumikia watanzania mara watakapompa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani .
Huku umati wa Wakazi wa Karagwe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

YVONE CHAKA CHAKA: Mtoto wa kwanza mweusi runingani Afrika Kusini

YVONE  Chaka Chaka ni mwimbaji machachari mwenye sauti nyororo inayosindikizwa na haiba usoni mwake. Alizaliwa katika mji wa Dobsonville huko Soweto, nchini Afrika Kusini mwaka 1965, ambaye aliweka rekodi ya...

 

10 years ago

TheCitizen

Chaka Chaka: Nyerere was real son of African continent

“For me, Mwalimu Nyerere is not the Father of the Nation for Tanzanians only; he is the father of the African Continent,” Ms Chaka-chaka told the media in Arusha yesterday.

 

10 years ago

Bongo5

Yvonne Chaka Chaka kutumbuiza Kenya mwezi huu

Mashabiki wa Kenya mwezi huu watapata nafasi ya kupata burudani kutoka kwa wasanii wawili wakubwa wa Afrika katika show mbili tofauti. Mwanamuziki mkongwe wa Afrika Kusini, Yvonne Chaka Chaka atatumbuiza jijini Nairobi, Kenya katikati ya mwezi huu. Hit maker huyo wa ‘Umqombothi’ atatumbuiza na wasanii wengine wa Kenya akiwemo Nameless kwenye tamasha la ‘Koroga festival’. […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Wimbo ramsi wa tuzo za Afrimma ulioshirikisha wasanii 10 akiwemo Diamond, Yvonne Chaka chaka, Vanessa Mdee…

Wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanaowania tuzo za Afrimma wameungana kufanya wimbo rasmi wa tuzo hizo (Afrimma Theme Song). Walioshiriki katika wimbo huo ni pamoja na mkongwe kutoka Afrika Kusini Yvonne Chaka Chaka, Awilo Logomba (Congo), Diamond Platnumz (Tanzania), Eddy Kenzo (Uganda), Harrysong (Nigeria), Kcee (Nigeria), Stanley Enow (Cameroon), Dynamq (South Sudan) Teddy-A (Nigeria), […]

 

10 years ago

TheCitizen

Yvonne Chaka Chaka on song at 50

This weekend singer Yvonne Chaka Chaka, the self proclaimed Princess of Africa, celebrates her 50th birthday, 30 years in the industry, 10 years as a United Nations Children’s Fund goodwill ambassador and a new show.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani