Music: Wimbo ramsi wa tuzo za Afrimma ulioshirikisha wasanii 10 akiwemo Diamond, Yvonne Chaka chaka, Vanessa Mdee…
Wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanaowania tuzo za Afrimma wameungana kufanya wimbo rasmi wa tuzo hizo (Afrimma Theme Song). Walioshiriki katika wimbo huo ni pamoja na mkongwe kutoka Afrika Kusini Yvonne Chaka Chaka, Awilo Logomba (Congo), Diamond Platnumz (Tanzania), Eddy Kenzo (Uganda), Harrysong (Nigeria), Kcee (Nigeria), Stanley Enow (Cameroon), Dynamq (South Sudan) Teddy-A (Nigeria), […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo505 Mar
Yvonne Chaka Chaka kutumbuiza Kenya mwezi huu
10 years ago
TheCitizen27 Mar
Yvonne Chaka Chaka on song at 50
9 years ago
Bongo511 Oct
Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz washinda tuzo za Afrimma
9 years ago
Bongo513 Oct
Vanessa Mdee: Tuzo niliyoshinda AFRIMMA ni ishara kwa wasanii wa nje kuwa waniangalie na kuniheshimu
9 years ago
Bongo508 Oct
Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
YVONE CHAKA CHAKA: Mtoto wa kwanza mweusi runingani Afrika Kusini
YVONE Chaka Chaka ni mwimbaji machachari mwenye sauti nyororo inayosindikizwa na haiba usoni mwake. Alizaliwa katika mji wa Dobsonville huko Soweto, nchini Afrika Kusini mwaka 1965, ambaye aliweka rekodi ya...
10 years ago
TheCitizen02 Jul
Chaka Chaka: Nyerere was real son of African continent
10 years ago
Bongo520 Jul
Diamond, Alikiba, Vanessa, Jaydee, Ommy Dimpoz, Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wib7New*8449JzCm7vuy20o0qs5Uz5h3CUBFj8cGSALM8n0D9ziE8f5zLwVoZN1KorbvjGuzubDtva2JiDuw2NqvNUbobUQS/MTV.jpg?width=650)
DIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015