Vanessa Mdee: Tuzo niliyoshinda AFRIMMA ni ishara kwa wasanii wa nje kuwa waniangalie na kuniheshimu
Vanessa Mdee amesema kuwa tuzo aliyoshinda AFRIMMA ya ‘Best Female East Africa’ huko Dallas, Marekeni weekend iliyopita ina maana kubwa sana kwake kwasababu imefungua ukurasa mpya katika muziki wake. Vee Money ambaye kwa mara ya kwanza tulimshuhudia akiibuka na tuzo ya AFRIMA mwaka jana huko Nigeria ikiwa ndio ya kwanza kimataifa, amesema tuzo aliyoshinda sasa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo525 Sep
Music: Wimbo ramsi wa tuzo za Afrimma ulioshirikisha wasanii 10 akiwemo Diamond, Yvonne Chaka chaka, Vanessa Mdee…
9 years ago
Bongo511 Oct
Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz washinda tuzo za Afrimma
9 years ago
Bongo508 Oct
Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma
9 years ago
Bongo520 Oct
Msanii kuwa na tuzo chache haimaanishi kuwa hafanyi vizuri — Vanessa Mdee
10 years ago
Bongo520 Jul
Diamond, Alikiba, Vanessa, Jaydee, Ommy Dimpoz, Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA
10 years ago
Bongo528 Dec
Diamond na Vanessa Mdee waing’arisha tena Tanzania kwa kushinda tuzo za Afrima Nigeria
9 years ago
Bongo508 Dec
Vanessa Mdee: Mashabiki msitushindanishe wasanii, mnatukosanisha!
![vanessa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/vanessa-300x194.jpg)
Mwanadada anayefanya vizuri na kibao, ‘Never Ever’, Vanessa Mdee amewataka mashabiki kuacha tabia ya kuwashindanisha wasanii au kuwagandamiza ili mmoja wao aonekane yupo juu.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EATV jana, Vanessa alisema kila msanii ana nafasi yake katika muziki ndio maana ni vigumu kuwalinganisha.
“Kuna baadhi ya mashabiki siyo wote, wenye tabia ya kugandamiza wasanii. Tabia ya kupambanisha wasanii kwa sababu wana kitu fulani au ambao wanafanya kitu similar hii...
10 years ago
GPLVANESSA MDEE AFUNIKA TUZO KTMA
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Vanessa Mdee: Wasanii hawajui namna ya kupata fedha mtandaoni
Na Festo Polea
WAKATI wimbo wa ‘Hawajui’ wa msanii, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’, ukiongoza katika chati za ubora za vituo mbalimbali vya redio na runinga za nchini Nigeria, msanii huyo amesema wasanii wengi hawajui namna ya kutumia mitandao ya kijamii kuuza kazi zao.
Vanessa alieleza hayo jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, akiwa katika harakati za kutangaza wimbo wake mpya wa ‘No body but Me’...