Lameck Ditto - Magufuli Twende
![](https://1.bp.blogspot.com/-WOYgA_NJhnk/Xu8r15gNuzI/AAAAAAALu0I/2cBZ7h9NZ5UAw9GzHPpjdu1FQ16X1_h8gCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-20%2Bat%2B6.22.10%2BPM.jpeg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo526 Nov
New Music: Lameck Ditto — Heri ya Christmas
11 years ago
Dewji Blog22 Jun
Lameck Ditto — New Video “Tuongeze Bidii” Watch it here
Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Lameck Ditto ametoa video ya wimbo wake mpya “TUONGEZE BIDII” Hii inakuwa ni Video yake ya Tatu toka ameanza kuimba kama mwimbaji wa kujitegemea, kabla ya hapo zilishatoka WAPO na TUSHUKURU KWA YOTE.
Director wa Video ni Sadick Kutoka Redline Production, na Producer wa Wimbo ni Ema The Boy kutoka katika Studio za Sorround Sound Studio.
11 years ago
CloudsFM23 Jun
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XnT5wfGNAfNtU2fZSjOl38nzzOtwI1hrKnB4kNFMK980tvh2naaGy8pb-*uk6T9Tr9WBRFaHYQn6qdZAFdSOL1Z-quF2oRmH/Dude.jpg)
DUDE: RAIS MAGUFULI KANYAGA TWENDE
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-nNqlncb3TWM/Xq6Xr-4ZvjI/AAAAAAALo6w/M8OgxDZ5orMXfls-X2lTWXTejeMo_xznQCLcBGAsYHQ/s72-c/1..jpg)
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. CHATO MKOANI GEITA
![](https://1.bp.blogspot.com/-nNqlncb3TWM/Xq6Xr-4ZvjI/AAAAAAALo6w/M8OgxDZ5orMXfls-X2lTWXTejeMo_xznQCLcBGAsYHQ/s640/1..jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/2.-scaled.jpg)
10 years ago
Mwananchi24 Apr
9 years ago
Bongo505 Jan
Ditto ataja sababu za wasanii wapya kupotea
![Lameck-Ditto_1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/10/Lameck-Ditto_1-300x194.jpg)
Msanii na mtunzi wa nyimbo, Lameck Ditto amesema wasanii wengi wachanga wanashindwa kufanikiwa kutokana na woga pamoja na kutokuwa wabunifu kwa kukopi kazi za wasanii waliowakuta kwenye game.
Ditto ambaye pia kwa sasa amejikita kwenye kilimo cha biashara, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa, kama wasanii wangeamini wanachofanya pamoja na kuwa wabunifu, wangefanikiwa.
“Kitu kikubwa wanashindwa kuwa tofauti na wengine,” alisema.
“Mimi naona vijana wengi wapo hivyo,...
11 years ago
Michuzi08 Mar
9 years ago
Bongo506 Nov
Ditto: Siamini kabisa kama Afande Sele ameacha muziki
![Afande-Sele-nzuri_full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/Afande-Sele-nzuri_full-300x194.jpg)
Ditto ambaye ni miongoni mwa wasanii waliowahi kufanya kazi na Afande Sele kwenye kundi la Watu Pori ambalo halipo tena, ametoa maoni yake kuhusu taarifa za uamuzi wa Afande kutangaza kuacha muziki baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la Morogoro mjini.
Wiki iliyopita rapper mkongwe wa Morogoro Afande Sele alitangaza kuweka muziki pembeni ili kujikita kwenye kilimo na ufugaji.
“Mimi niwe tu wazi kwamba siamini kama Afande ameacha muziki,” alisema Ditto kupitia...