Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DUDE: RAIS MAGUFULI KANYAGA TWENDE

Stori: Gabriel Ng'osha 
HAPA mchezo! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amemtaka Rais John Pombe Magufuli kukanyaga spidi ya maendeleo kama alivyoonesha hivi karibu baada ya kuchaguliwa kuiongoza Tanzania katika awamu ya tano.  Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda,Dude alisema D.k Magufuli anapaswa aendeleze na mshtukizo huo wa kutembelea kila wizara...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga kanyaga twende

Mshambuliaji Mrisho Ngassa wa Yanga leo atakuwa chini ya ulinzi mkali kwa ngome ya Al-Ahly wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaochezwa leo saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga SC kanyaga BDF XI twende

Ikiwa ni miaka 12 tangu, DBF itolewe na Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo inakanyanga jijini Dar es Salaam kwa mara nyingine kucheza na Yanga yenye maswali mengi.

 

5 years ago

Michuzi

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura Nchini Burundi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye shughuli ya kuapishwa Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye  leo Juni 18,2020. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Burundi Mhe. Gasten Sindimwa.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Ashiriki Mazishi ya Dada wa Rais Mstaafu Kikwete, Msoga

1.jpgRais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu Desemba 21, 2015.ms15.jpgRais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini.
ms16.jpgRais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini.ms17.jpgRais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Marais Wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakishiriki katika dua wakati wa wa mazishi ya dada yake Rais...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA KWA SIMU NA RAIS MTEULE WA BURUNDI, LEO

Rais Dk. John MagufuliIkulu, Chamwino.
Rais Dk. John Magufuli amezungumza kwa njia ya simu na Rais Mteule wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kwa uamuzi wa Mahakama ya Katiba nchini Burundi iliyoagiza Rais Mteule aapishwe haraka.

Katika mazungumzo hayo, Rais Magufuli amemtakia heri Rais Mteule Ndayishimiye kuelekea kuapishwa kwake kuwa Rais wa  Burundi kutakakofanyika hivi karibuni.

Rais Magufuli amemhakikishia Rais Mteule Ndayishimiye kuwa Tanzania itaendeleza na kukuza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu ashiriki msiba wa mjukuu Rais Dk. Magufuli!

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mjukuu wa Mhe. Rais Dkt. John Magufuli, Maryfaustna Mlyambina, aliyefariki Nov 11, 2015. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu zilifanyika leo Nov 13, 2015 Kimara jijini Dar es Salaam, na baadaye msiba huo kusafirishwa kuelekea Mkoani Mwanza kwa maziko. Picha na OMR.

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za...

 

9 years ago

StarTV

Utendaji Wa Rais Magufuli wawafanya Wakenya kutamani awe Rais wao

Raia wa Kenya wamewataka Watanzania kutoa ushirikiano kwa Rais Dokta John Magufuli katika juhudi zake ya kupambana na Ufisadi na Ubadhilifu wa mali za umma anazoendelea kuzichukua tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba tano mwaka huu.

Wakenya hao wamesema kimsingi hata wao wanatamani kuwa na Rais  kama Dokta Magufuli kwa sababu ameonesha kuwa ni Mzalendo anayeipenda nchi yake na anayepigania maslahi ya wananchi masikini ambao kwa miaka kadhaa wamekosa fursa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani