Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga SC kanyaga BDF XI twende

Ikiwa ni miaka 12 tangu, DBF itolewe na Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo inakanyanga jijini Dar es Salaam kwa mara nyingine kucheza na Yanga yenye maswali mengi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga kanyaga twende

Mshambuliaji Mrisho Ngassa wa Yanga leo atakuwa chini ya ulinzi mkali kwa ngome ya Al-Ahly wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaochezwa leo saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

GPL

DUDE: RAIS MAGUFULI KANYAGA TWENDE

Stori: Gabriel Ng'osha 
HAPA mchezo! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amemtaka Rais John Pombe Magufuli kukanyaga spidi ya maendeleo kama alivyoonesha hivi karibu baada ya kuchaguliwa kuiongoza Tanzania katika awamu ya tano.  Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda,Dude alisema D.k Magufuli anapaswa aendeleze na mshtukizo huo wa kutembelea kila wizara...

 

10 years ago

Michuzi

MECHI YA YANGA NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAPIGWA HIVI SASA UWANJA WA TAIFA,YANGA INAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika unaopigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.Yanga inaongoza kwa bao 2 - 0 zilizotiwa kimiani na Mshambuliaji Hamis Tambwe. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI Golikipa wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana akiondosha hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni mwake wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kidedea, yaichapa BDF XI 2-0

Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Amisi Tambwe leo ameibuka shujaa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam baada ya kuifungia timu yake ya Yanga ya jijini Dar es Salaam magoli 2-0 dhidi ya BDF XI ya nchini Botswana.

 

10 years ago

Mwananchi

MTN ya Yanga kuichakaza BDF XI

Wakati Barcelona inajivunia Messi, Suarez , Neymar ‘MSN’, Real Madrid ikiwa na ‘BBC’ ya Benzema, Bale na Cristiano Ronaldo, Yanga inao washambuliaji watatu, Msuva, Tambwe, Ngassa wanaounda umoja, MTN utakaotumika leo kuisambaratisha BDF XI.

 

10 years ago

TheCitizen

SOCCER: Yanga target BDF scalp

>Mainland giants Young Africans must be harbouring hopes of making a flying start in the continent’s second-tier competition.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga, Azam pongezi kuwadunda El-Merreikh, BDF XI

Chama cha kandanda mkoa wa Dar es salaam DRFA,kimewapongeza wawakilishi wa Tanzania bara katika michuano ya vilabu barani Afrika klabu ya Azam FC na Yanga SC.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA KESHO NA BDF XI YA BOTSWANA JE WATAENDELEZA MWENDO WA KIBAJAJI?

Yanga wakipasha ya mwisho mwisho leo hii kabla ya kipute cha hiyo kesho Yanga wanaitaji draw tu kusonga mbele  kwenye mchezo huo wa kesho baada ya mchezo wao wa kwanza uliofanyika Tanzania kushinda bao 2-0. Na hata wakifungwa goli moja watakuwa wamepeta tu kiroho safi. Kocha wa Yanga akiteta na Nadir nahodha  wa timu wakiwa njiani kuelekea mazoezini kujiwenda na mshike mshike huo wa kesho.
Msemaji wa club Jerry Muro akipata ukodak wakati timu ikipiga jalamba.Hiki ni kiota walichofikia Yanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani