YANGA KESHO NA BDF XI YA BOTSWANA JE WATAENDELEZA MWENDO WA KIBAJAJI?
![](http://2.bp.blogspot.com/-1X1AHg-tlWw/VO_CutmgMLI/AAAAAAADa4c/VQta9mtXb1c/s72-c/IMG-20150226-WA0098-1.jpg)
Yanga wakipasha ya mwisho mwisho leo hii kabla ya kipute cha hiyo kesho Yanga wanaitaji draw tu kusonga mbele kwenye mchezo huo wa kesho baada ya mchezo wao wa kwanza uliofanyika Tanzania kushinda bao 2-0. Na hata wakifungwa goli moja watakuwa wamepeta tu kiroho safi.
Kocha wa Yanga akiteta na Nadir nahodha wa timu wakiwa njiani kuelekea mazoezini kujiwenda na mshike mshike huo wa kesho.
Msemaji wa club Jerry Muro akipata ukodak wakati timu ikipiga jalamba.
Hiki ni kiota walichofikia Yanga...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Ew2onIrzvpo/VN9XiYsc-BI/AAAAAAAHDu0/nz-Lu8__BS4/s72-c/MMGL0060.jpg)
MECHI YA YANGA NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAPIGWA HIVI SASA UWANJA WA TAIFA,YANGA INAONGOZA KWA BAO 2-0
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ew2onIrzvpo/VN9XiYsc-BI/AAAAAAAHDu0/nz-Lu8__BS4/s1600/MMGL0060.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-hHVq_w2pie4/VN9YDWa4n6I/AAAAAAAHDu8/Y3X4I_cge8g/s1600/MMGL0098.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Ew2onIrzvpo/VN9XiYsc-BI/AAAAAAAHDu0/nz-Lu8__BS4/s72-c/MMGL0060.jpg)
YANGA YASHINDA KWA BAO 2-0 MECHI YAKE NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAYOCHEZWA UWANJA WA TAIFA,
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ew2onIrzvpo/VN9XiYsc-BI/AAAAAAAHDu0/nz-Lu8__BS4/s640/MMGL0060.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mN5n9wrWXGU/VN9YFUXERRI/AAAAAAAHDvE/uAns9jyyU70/s640/MMGL0070.jpg)
10 years ago
Mwananchi27 Feb
MTN ya Yanga kuichakaza BDF XI
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Yanga SC kanyaga BDF XI twende
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Yanga kidedea, yaichapa BDF XI 2-0
10 years ago
TheCitizen14 Feb
SOCCER: Yanga target BDF scalp
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Yanga, Azam pongezi kuwadunda El-Merreikh, BDF XI
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Yanga yamuacha Coutinho kwenda Botswana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-yB-pXthjMQ8/VKl4Nz66YqI/AAAAAAADUPI/ZSW_sjCnjmY/s72-c/coutinho-shangwe-za-goal.jpg)
YANGA NI MWENDO WA NNE TU UKISOGEA UNAZO UWANJA WA AMAAN, ZANZIBAR, LEO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-yB-pXthjMQ8/VKl4Nz66YqI/AAAAAAADUPI/ZSW_sjCnjmY/s1600/coutinho-shangwe-za-goal.jpg)
Baada ya kuitwanga Taifa ya Jang'ombe kwa mabao 4-0 katika mechi ya Kombe la Mapinduzi, wamefanya hivyo tena kwa Polisi Zanzibar.
Katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar, Yanga ilipata mabao yake kupitia Andrey Coutinho aliyefunga mawili, Kpah Sherman na Simon Msuva.
Yanga ingeweza kufunga mabao mengi zaidi kutokana na kuutawala mchezo,...