Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Langa - Matawi Ya Juu [OFFICIAL] Jikumbushe na hii

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

Wimbo mpya wa Langa aliomshirikisha Julio & Langa

Ni mwaka mmoja tangu kifo cha rapper Langa, imefahamika kuwa siku 5 kabla ya kufariki kwakealiweza kumalizia ngoma yake ya mwisho iliyokuwa inahusiana na maisha yake. Na ndio siku waliokutana na Julio Batalia aliyekuwa mshiriki wa BBA 2012 na kufikia hatua ya kumaliza kipande chao na kumsubiria TID ambaye mwaka 2013 siku hiyo alikuwa Uingereza na ilikuwa ombi lake la mwisho kwamba kwenye ngoma yake hiyo alikuwa anataka kumsikia mnyama TID angefanya nini kwenye chorus. Pata ngoma hii ambayo...

 

10 years ago

Vijimambo

JIKUMBUSHE NA HII NAJUA ULICHAPITIWA NA HII

Unaikumbuka hii kwa jina gani maana inamajina menge.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ilikotokea, ilipo Zaiko Langa Langa

UKITAKA kuuzungumzia muziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, huwezi kumaliza pasipo kuwataja Zaiko Langa Langa, bendi ya dansi inayoongozwa na Nyoka Longo. Zaiko wamekuwa maarufu na kuendeleza umaarufu wao...

 

10 years ago

BBCSwahili

BBC kutangaza fainali za Langa langa

Fainali za langa langa ya Formula 1 msimu huu 2014 huko Abu Dhabi kutangazwa moja kwa moja na BBC,radio,televishen na mtandao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani