Wimbo mpya wa Langa aliomshirikisha Julio & Langa
Ni mwaka mmoja tangu kifo cha rapper Langa, imefahamika kuwa siku 5 kabla ya kufariki kwakealiweza kumalizia ngoma yake ya mwisho iliyokuwa inahusiana na maisha yake. Na ndio siku waliokutana na Julio Batalia aliyekuwa mshiriki wa BBA 2012 na kufikia hatua ya kumaliza kipande chao na kumsubiria TID ambaye mwaka 2013 siku hiyo alikuwa Uingereza na ilikuwa ombi lake la mwisho kwamba kwenye ngoma yake hiyo alikuwa anataka kumsikia mnyama TID angefanya nini kwenye chorus. Pata ngoma hii ambayo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Ilikotokea, ilipo Zaiko Langa Langa
UKITAKA kuuzungumzia muziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, huwezi kumaliza pasipo kuwataja Zaiko Langa Langa, bendi ya dansi inayoongozwa na Nyoka Longo. Zaiko wamekuwa maarufu na kuendeleza umaarufu wao...
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
BBC kutangaza fainali za Langa langa
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Hamilton amshinda Rosberg,Langa Langa
10 years ago
BBCSwahili03 Feb
Langa langa yazindua magari mapya
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-qzlslXeVrXk/VX71qgwpOQI/AAAAAAAACDM/HxuUsdmD4rA/s72-c/wazazi%2Bwangu%2Bartwork.png)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/_OkVNcKfPYQ/default.jpg)
11 years ago
CloudsFM13 Jun
LANGA ATIMIZA MWAKA MMOJA TANGU AFARIKI DUNIA
Tarehe kama ya leo mwaka jana,msanii wa Hip Hop, Langa Lileo, rais wa gheto mida ya jioni alitangazwa kuwa amefariki dunia, kwa mujibu wa ripoti ya hospitali msanii huyo alikuwa anasumbuliwa na malaria kali, alilazwa siku moja katika hospitali ya taifa Muhimbili siku ya pili yake ndiyo akafariki. Safari ya Langa kimuziki ilianzia kwenye shindano la kusaka vipaji la Coca-Cola Pop Stars mwaka 2004, na wakapatikana washindi watatu wakaunda kundi la Wakilisha alikuwemo Langa, Shaa, na Witness,...
9 years ago
Bongo525 Sep
New Music: Janet Jackson aachia wimbo mpya aliomshirikisha Missy Elliott — Burn It Up
10 years ago
Dewji Blog08 Apr
Dayna Nyange aachia wimbo mpya leo wa ‘Nitulize’ aliomshirikisha Ney wa Mitego
Msanii wa kike anayetamba na vibao mbalimbali vya muziki hapa Bongo ‘East African Queen’, Dayna Nyange leo Aprili 8, anaachia wimbo mpya wa ‘Nitulize’ ambao ameimba na staa wa Hip Hop nchini, Ney wa Mitego.
Awali wasanii hao Dayna Nyange na Ney walianza kama utani kwa kutupia picha mbali mbali wakiwa katika hali ya mahaba, lakini mwisho wa siku ilikuwa ni ‘promo’ ya wimbo wao huo ambao unaanza kuruka leo katika vituo mbalimbali vya radio.
Msanii Dayna Nyange ‘East African Queen’ katika...