LAPF mfuko unaokua kwa kasi sana
Meneja wa Takwimu,Tathmini na Hadhari toka Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw.Aboubakar Ndwata akiwaeleza waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali unaofanywa na mfuko huo ukiwemo wa jengo linalokadiriwa kuwa refu zaidi jijini Dar es salaam lenye urefu wa gorofa 30 ambalo limejengwa Kijitonyama jijini Dar es salaam likiwa na thamani ya Shilingi bilioni 58, kulia ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko huo Bw.James Mlowe na kushoto ni meneja Matekelezo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
JK ataka msaada ESRF kuondoa umaskini kwenye uchumi unaokua kwa kasi kubwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini , Alvaro Rodriguez nje ya ukumbi wa mikutano kabla ya mgeni rasmi kuwasili kwenye mkutano mkubwa wa tatu wa ESRF unaozungumzia ukuaji wa uchumi kwa kutumia fursa zilizopo na maendeleo yanayogusa jamii uliofanyika jana jijini Dar katika hoteli ya Hyatt Regency,...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_00391.jpg?width=650)
JK ATAKA MSAADA ESRF KUONDOA UMASKINI KWENYE UCHUMI UNAOKUA KWA KASI KUBWA
9 years ago
VijimamboMFUKO WA LAPF WATOA SHILINGI MILIONI TATU, KUSAIDIA WIKI YA NENDA KWA USALAMA
9 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE YA SEKONDARI DODOMA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TxdS1VylyJk/VBbdxUBhr_I/AAAAAAACq8Y/Uc9iC2f2CNg/s72-c/New%2BPicture.png)
Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 — 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.
![](http://1.bp.blogspot.com/-TxdS1VylyJk/VBbdxUBhr_I/AAAAAAACq8Y/Uc9iC2f2CNg/s1600/New%2BPicture.png)
Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 – 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.
15 Septemba 2014, Dodoma: Wanachama wa mfuko wa penseni wa LAPF kunufaika na fao jipya lilozinduliwa hivi karibuni nchini kwa Baraka zake Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia.
Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa LAPF mikopo ya elimu ya juu kwani ni ombi la...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VHUIrRa2qys/UwCdLYkoG-I/AAAAAAAFNbE/Y6Llj0PgFnE/s72-c/images.jpg)
MTAJI WA VICOBA NCHINI UNAKUA KWA KASI SANA - MAMA TUNU PINDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-VHUIrRa2qys/UwCdLYkoG-I/AAAAAAAFNbE/Y6Llj0PgFnE/s1600/images.jpg)
Alisema hayo alipokuwa akizindua rasmi muungano wa VICOBA wenye vikundi 46 na vikundi 25 vyenye jumla ya wanachama 600 ambao ndio waliopo katika mchakato wa muungano huo, Jana Mchana Jumamosi, Februari 15, 2014 katika Kata ya Kimanga Jijini Dar es Salaam.
Mfumo wa VICOBA umeendelea kushamiri na kuenea katika maeneno mbalimbali nchini ambapo wananchi wengi hasa...
10 years ago
Habarileo17 Dec
Mfuko wa LAPF waingia migodini
MFUKO wa Pensheni wa LAPF umeanza kusambaza huduma zinazotokana na mfuko huo katika sekta ya migodi.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-5qwfGJFJE8k/U0OcbLCHdfI/AAAAAAAFZPA/bNlrX1ok8cI/s72-c/Meneja+Mfuko+wa+LAPF,+Kanda+ya+Dar+es+Salaam,+Bi.+Amina+Kassim,+akizungumza+na+Waandishi+wa+habari,+kuwapongeza+waalimu+wapya,+jijini+Dar+es+Salaam,+mwishoni+mwa+wiki.jpg)
Mfuko wa LAPF, Wawapongeza Waalimu Wapya
![](http://2.bp.blogspot.com/-5qwfGJFJE8k/U0OcbLCHdfI/AAAAAAAFZPA/bNlrX1ok8cI/s1600/Meneja+Mfuko+wa+LAPF,+Kanda+ya+Dar+es+Salaam,+Bi.+Amina+Kassim,+akizungumza+na+Waandishi+wa+habari,+kuwapongeza+waalimu+wapya,+jijini+Dar+es+Salaam,+mwishoni+mwa+wiki.jpg)
Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Umewapongeza walimu wote kwa kupata ajira huku ikiwakumbusha kuwa huu ndio mwanzo wa maisha yao ya ajira hivyo ni muhimu kujipanga vizuri kimaisha kwa kuchagua mfuko wa pensheni wenye maslahi bora!.
Hayo yameelezwa na Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Kanda ya Dar es Salaam, Bi. Amina...
9 years ago
MichuziMFUKO WA PENSENI WA LAPF WASAIDIA WIKI YA USALAMA BARABARANI