MFUKO WA PENSENI WA LAPF WASAIDIA WIKI YA USALAMA BARABARANI
Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam Mfuko wa Pensheni wa LAPF , Yessaya Mwakifulefule (wa pili kulia) akimkabidhi Katibu wa kamati ya Usalama Barabarani Kanda Maalum, ACP Peter Sima (kushoto), Hundi ya thamani ya Million Tatu walizotoa kwa ajili yakusaidia mahitaji ya wiki ya nenda kwa usalama. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Elifadhili Mgonja (wa pili kushoto) na Afisa masoko wa Mfuko huo Rehema Mkamba .
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMFUKO WA LAPF WATOA SHILINGI MILIONI TATU, KUSAIDIA WIKI YA NENDA KWA USALAMA
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI
MFUKO wa Pensheni wa LAPF umeunga jitihada za Rais Jakaya Kikwete za kuhakikisha kila shule ya sekondari nchini inakuwa na maabara kwa kutoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya sh.milioni 3.5 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari ya Mihande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa hivyo Mlandizi wilayani humo jana, Kaimu Meneja wa Kanda ya Mashariki wa mfuko huo, Isaya Mwakifulefule ...
10 years ago
GPLMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI
Kaimu Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki, Isaya Mwakifulefule (kushoto), akimkabidhi, Ofisa Elimu wa Vifaa na Takwimu wa Wilaya ya Kibaha, Doris Semkiwa (kulia), bati na rangi zenye thamani ya sh.milioni 3.5 zilizotolewa na mfuko huo jana, kusaidia ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari ya Mihande ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Rais Jakaya Kikwete za kuhakikisha kila shule ya sekondari nchini inakuwa na maabara....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-lPdgIirvjEI/VZO_6kPveCI/AAAAAAAC8CU/8goKMywKxQM/s72-c/20150629_093519_001.jpg)
Mfuko wa Pensheni wa LAPF WASHIRIKI Maadhimisho ya Wiki ya Serikali za Mitaa Mtwara
Mfuko wa Pensheni wa LAPF umeshiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Serikali za Mitaa Mtwara katika viwanja vya mashujaa. LAPF inawakaribisha wakazi wa Mtwara na Watanzania wote kutembelea banda lao ili uweze kupata huduma mbali mbali ikiwa ni pamoja na kufahamu juu ya huduma mpya zinazotolewa na LAPF kama vile mkopo wa kujikimu, Mafao ya Uzazi na Mkopo wa Elimu. Pia wanachama watapata fursa ya kuangalia taarifa za michango yao kujiunga na LAPF na kupata vitambulisho bandani.Pichani ni...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-C01WyXI4eC0/Va4SzIy-HgI/AAAAAAAHqyU/zyb35Ywy6KQ/s72-c/20150629_093519_006.jpg)
MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA SERIKALI ZA MITAA MTWARA
LAPF inawakaribisha wana mtwara kutembelea banda lao ili waweze kupata huduma mbali mbali ikiwa ni pamoja na kufahamu juu ya huduma mpya zinazotolewa na LAPF kama vile mkopo wa kujikimu, Mafao ya Uzazi na mkopo wa elimu.
Pia wanachama watapata fursa ya kuangalia taarifa za michango yao, kujiunga LAPF na kupata vitambulisho.
Katika picha ni maafisa wa LAPF wakitoa huduma kwa wanachama waliotembelea banda hilo.
Wananchi wa Mtwala wakitembelea maanda ya mfuko wa pensheni wa LAPF, Mtwara.
Pia wanachama watapata fursa ya kuangalia taarifa za michango yao, kujiunga LAPF na kupata vitambulisho.
Katika picha ni maafisa wa LAPF wakitoa huduma kwa wanachama waliotembelea banda hilo.
![](http://1.bp.blogspot.com/-C01WyXI4eC0/Va4SzIy-HgI/AAAAAAAHqyU/zyb35Ywy6KQ/s640/20150629_093519_006.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-MEv9xoQYDGo/Va4SzmVY1yI/AAAAAAAHqyc/ybvMUa07kRk/s640/20150629_132249.jpg)
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Tumejifunza nini Wiki ya Usalama Barabarani?
Tangu wiki iliyopita, nchi yetu imekuwa katika maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani. Wakati maadhimisho hayo yakifika ukingoni wiki hii, tunadhani ingekuwa vyema kila mwananchi akatafakari kwa kina nini amejifunza kutokana na maadhimisho hayo.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-e9ngxiZVO8g/U-pfQ_qLNeI/AAAAAAAF_Bg/5jkhEvqaGn8/s72-c/unnamed%2B(29).jpg)
Vodacom yapiga jeki wiki ya usalama barabarani
Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo imetoa msaada wa shilingi milioni 40 kwa serikali ya Jamhuri ya Tanzania kwa kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani katika kufanikisha wiki ya usalama barabarani mwaka huu itakayozinduliwa rasmi siku chache zijazo mkoani Arusha. Hafla ya kukabidhi hundi ya fedha hizo imefanyika leo katika wizara ya Mambo ya Ndani ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mheshimiwa Mathias...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsukpBjfQnpDd07pLB5-49M1UDbZ272JstO-HmP-kkRuG*w5snp4UerHiB8uO8t2eddrbXBYEGWUl0igZ1TIyo9T2/001.WAZIRI.jpg?width=650)
VODACOM YAIPIGA JEKI WIKI YA USALAMA BARABARANI
Waziri wa Mambo ya ndani Mathias Chikawe,akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milion 40/=toka kwa Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa(kushoto) msaada huo umetolewa kwaajili ya maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani Mkuu wa jeshi la polisi nchini Ernest Mangu na kulia ni Mkuu wa usalama barabarani Mohamed Mpinga.
Waziri wa Mambo ya ndani nchi Mathias Chikawe na Ofisa Mkuu wa...
10 years ago
GPLMAADHIMISHO YA WIKI YA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO ILALA
Mushi akiwa na baadhi ya viongozi wa usalama barabarani wa Wilaya ya Ilala. Mushi akisisitiza jambo kwa wananchi na wadau wa usalama barabarani.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10