Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumejifunza nini Wiki ya Usalama Barabarani?

Tangu wiki iliyopita, nchi yetu imekuwa katika maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani. Wakati maadhimisho hayo yakifika ukingoni wiki hii, tunadhani ingekuwa vyema kila mwananchi akatafakari kwa kina nini amejifunza kutokana na maadhimisho hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Vodacom yapiga jeki wiki ya usalama barabarani

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo imetoa msaada wa shilingi milioni 40 kwa serikali ya Jamhuri ya Tanzania kwa kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani katika kufanikisha wiki ya usalama barabarani mwaka huu itakayozinduliwa rasmi siku chache zijazo mkoani Arusha.  Hafla ya kukabidhi hundi ya fedha hizo imefanyika leo katika wizara ya Mambo ya Ndani ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mheshimiwa Mathias...

 

11 years ago

GPL

VODACOM YAIPIGA JEKI WIKI YA USALAMA BARABARANI

Waziri wa Mambo ya ndani Mathias Chikawe,akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milion 40/=toka kwa Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa(kushoto) msaada huo umetolewa kwaajili ya maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani Mkuu wa jeshi la polisi nchini Ernest Mangu na kulia ni Mkuu wa usalama barabarani Mohamed Mpinga.
Waziri wa Mambo ya ndani nchi Mathias Chikawe na Ofisa Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSENI WA LAPF WASAIDIA WIKI YA USALAMA BARABARANI

 Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam Mfuko wa  Pensheni wa LAPF , Yessaya Mwakifulefule (wa pili kulia)  akimkabidhi Katibu wa kamati ya Usalama Barabarani Kanda Maalum, ACP Peter Sima (kushoto), Hundi ya thamani ya Million Tatu  walizotoa kwa ajili yakusaidia mahitaji ya wiki ya nenda kwa usalama. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Elifadhili Mgonja (wa pili kushoto) na Afisa masoko wa Mfuko huo Rehema  Mkamba .



 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA WIKI YA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO ILALA

Mushi akiwa na baadhi ya viongozi wa usalama barabarani wa Wilaya ya Ilala. Mushi akisisitiza jambo kwa wananchi na wadau wa usalama barabarani.…

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete aongoza maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani Tanga

Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoa wa Tanga wakiandamana wakati wa sherehe za maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga leo (picha na Freddy Maro)Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoa wa Tanga wakiandamana wakati wa sherehe za maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga leoRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua stika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yatumia mil. 80/- wiki ya nenda kwa usalama barabarani

 KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imetumia sh milioni 80 kufanikisha shughuli mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani nchini. Hayo yalisemwa na Ofisa Uhusiano wa TBL,...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU‏

Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam.  Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...

 

10 years ago

Michuzi

JK aaga wananchi Tanga, afungua wiki ya nenda kwa usalama barabarani


.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia mamia ya wakazi wa mji wa Tanga waliojitokeza katika mkutano mkubwa wa hadhara ambapo aliwaaga rasmi na kumpa zawadi mbalimbali jana  jioni 
 Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoa wa Tanga wakiandamana wakati wa sherehe za maadhimisho  ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua stika maalumu zing’aazo zitakazosaidia kupunguza ajali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani