Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM TANZANIA YAUNGANA NA SERIKALI KATIKA WIKI YA USALAMA BARABARANI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VODACOM YAIPIGA JEKI WIKI YA USALAMA BARABARANI

Waziri wa Mambo ya ndani Mathias Chikawe,akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milion 40/=toka kwa Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa(kushoto) msaada huo umetolewa kwaajili ya maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani Mkuu wa jeshi la polisi nchini Ernest Mangu na kulia ni Mkuu wa usalama barabarani Mohamed Mpinga.
Waziri wa Mambo ya ndani nchi Mathias Chikawe na Ofisa Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yapiga jeki wiki ya usalama barabarani

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo imetoa msaada wa shilingi milioni 40 kwa serikali ya Jamhuri ya Tanzania kwa kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani katika kufanikisha wiki ya usalama barabarani mwaka huu itakayozinduliwa rasmi siku chache zijazo mkoani Arusha.  Hafla ya kukabidhi hundi ya fedha hizo imefanyika leo katika wizara ya Mambo ya Ndani ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mheshimiwa Mathias...

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM YAMKABIDHI WAZIRI CHIKAWE MAMILIONI YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akimshukuru Ofisa wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kushoto) baada ya kupokea hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 40 msaada uliotolewa kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu, jijini Arusha. Wapili kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, na kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Mhe. Pereira Ame Silima (Mb.) (wa kwanza toka kushoto) akimweleza jambo Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Abigail Ambweni (wa tatu toka kushoto) wakati Baraza hili lilipotia saini makubaliano na kampuni hiyo kuendeleza ushirikiano katika kampeni za usalama barabarani ambazo Vodacom imekuwa ikidhamini tangu mwaka 2014. Akisikiliza pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo na Kamanda...

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YATOA MSAADA YA MIAVULI 20 KWA JESHI LA USALAMA BARABARANI

 Menaja Uhusiano wa Umma wa  Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kushoto)akifungua mmoja ya miamvuli(20)kabla ya kuikabidhi rasmi kwa Mkaguzi Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa(kulia) msaada huo utawawezesha askari wa usalama barabarani kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi. Hafla hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkaguzi Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa  akipokea msaada wa...

 

11 years ago

GPL

VODACOM TANZANIA YATOA MSAADA YA MIAMVULI 20 KWA JESHI LA USALAMA BARABARANI‏

Mkaguzi Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa  akipokea msaada wa miamvuli(20)kutoka kwa Menaja Uhusiano wa Umma wa  Vodacom Tanzania Matina Nkurlu, msaada huo utawawezesha askari wa usalama barabarani kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi,wanaoshuhudia wa pili kutoka kulia ni Tumaini  Kimaro, Simoni Lugangila na Emmanuel David. Hafla hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi Oysterbay...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Arusha aikabidhi ngao Vodacom Tanzania kwa kutambua mchango wake kuhakikisha usalama barabarani

Mkuu wa mkoa wa Arusha Bw.Magessa mulongo, akimkabidhi ngao Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa kwa kutambua mchango na jitihada za Vodacom kuhakikisha usalama barabarani,ngao hiyo ilikabidhiwa wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani yamefanyika kitaifa mkoani Arusha,kampuni ya Vodacom ni moja wa wadhamini wakubwa wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani mwaka huu Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA TANGAMANO MJINI TANGA LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya Uzinduzi wa wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani 2015 wakati wa sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga leo.Kauli mbiu ya mwaka huu ni Endesha salama okoa maisha.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Kamanda wa mkuu wa Usalama Barabarani Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi, Mohamed Mpinga wakati Rais alipowasili katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga kuzindua rasmi maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani