Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lata Kare: Ajuza mwenye umri wa miaka 68 anayekimbia bila viatu kuokoa maisha ya mume wake

Lata Kare ni ajuza mwenye umri wa miaka 68. Kwa kipindi cha miaka mitatu iliopita amekimbia na kushinda mbio za marathon za kilomita 3 katika eneo la Maharashatra, magharibi mwa I

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Daktari Christian Chenay mwenye umri wa miaka 98 anaendelea kuwatibu wagonjwa wake

Daktari wa Ufaransa Christian Chenay, anaendelea kufanya kazi katika mazingira ambayo ni hatari kwa mtu mwenye umri kama wake

 

10 years ago

BBCSwahili

Dj mwenye umri wa miaka 3

Wachezaji densi Afrika Kusini walipigwa na butwaa walipogundua DJ aliyekuwa akiporomosha densi alikuwa mtoto wa miaka 3

 

10 years ago

Mwananchi

Bibi Pelagia mwenye umri wa miaka 101

Kutokana na mfumo wa maisha tunayoishi, vyakula tunavyokula na mabadiliko ya tabia, maisha ya mwanadamu kuishi duniani ni mafupi sana ukilinganishwa na maisha ya zamani walivyoishi wazazi wetu.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Umeshafikiria kufundishwa na mwalimu mwenye umri wa miaka 100?

KUNA usemi kuwa kujifunza hakuna mwisho, lakini mama huyu Agnes Zhelesnik (101) amebadili maana imekuwa kinyume chake kufundisha hakuna mwisho.

Kwa sasa anatajwa ni mwalimu mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani baada ya Januari mwaka huu kutimiza miaka 101 tangu kuzaliwa lakini bado hajaacha kufundisha uchumi wa nyumbani.

Mwalimu huyo mkongwe anayefundisha watoto wenye umri chini ya miaka 10 katika Shule ya Sundance North Plaintfield, New Jersey Marekani alizaliwa Januari 12, 1914...

 

5 years ago

Michuzi

POLISI DAR WAUA JAMBAZI SUGU MWENYE UMRI WA MIAKA 20

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa
 
Na  Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamii
MKAZI wa Mbagala jijini Dar es Salaam Ramadhan Rashid maarufu kwa jina la Asney Mjeuri anayetuhumiwa kwa ujambazi sugu ameuawa wakati akitaka kuwakimbia askari Polisi.
Akizungumza leo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema kuwa mtuhumiwa huyo wa ujambazi sugu alikamatwa Februari 24 ,2020 saa saba usiku maeneo ya Sabasaba Mbagala Kizuiani...

 

9 years ago

MillardAyo

Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video)

Dj Arch Jnr ndiye Dj mdogo mwenye umri wa miaka mitatu ambaye makazi yake yapo Afrika Kusini kipaji chake kinawashangasha watu  wengi kwa kucheza muziki wa aina tofauti akiwa kama DJ. Mtoto huyo alianza kuchukua headlines kabla ya kushinda kwenye shindano la S.A Got Talent 2015 baada ya kuwashinda washiriki sita kwenye fainali zilizofanyika Nov […]

The post Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Michuzi

WALIOMSHAMBULIA BINTI MWENYE UMRI WA MIAKA 12 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV

WANAWAKE watatu akiwemo mama mlezi wa binti mwenye umri wa  miaka 12, Scholastica Charles (34) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kumfanyia ukatili binti yake (jina limehifadhiwa) na kumsababishia maumivu makali.

Mbali na Scholastica, washtakiwa  wengine ni Salma Hamisi (25) na Happy Joshua (44), ambapo wote  ni wafanyabiashara wanaoishi Kitunda jijini Dar es Salaam.

Akisoma hati ya mashtaka leo,  Wakili wa Serikali...

 

10 years ago

CloudsFM

Rais Kikwete ashuhudia kutawazwa kwa Chifu Mkwawa mpya mwenye umri wa miaka 14

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Februari 16, 2015, ameungana na mamia ya waombolezaji kumlaza katika nyumba yake ya milele, Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa.Aidha, Rais Kikwete ameshuhudia kutawazwa kwa Chifu mpya, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili, kijana wa miaka 14, ambaye yuko darasa la saba na ambaye anachukua nafasi ya baba yake ambaye aliaga dunia juzi, Jumamosi, Februari 14, 2015.Mtwa Adam wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani