Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lawmakers approve Zanzibar Ikulu budget amid cheers to Shein, JK


Lawmakers approve Zanzibar Ikulu budget amid cheers to Shein, JK
Daily News
MEMBERS of the House of Representatives endorsed 27.9bn/- budget for the 'Zanzibar State House' for the year 2015/2016, with praise piled on both President Jakaya Kikwete and Dr Ali Mohamed Shein for their commendable job for the nation. “People are ...

Daily News

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA NIGERIA IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria,  walipofika Ikulu Jijini Zanzibar wakiongozana na Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Dk. Sahabi Isa Gada (katikati) kuonana na Rais na  kufanya mazungumzo leo 5/3/2020. Picha na Ikulu, Zanzibar. KWA PICHA ZAIDI >>BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC,DKT.TAX IKULU,ZANZIBAR





RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kuonana na kufanya mazungumzo leo 21-2-2020.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali...

 

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk.Shein akutana na Diaspora wa Zanzibar Ikulu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazanzibari wanaoishi   nchi za nje (Diaspora)  wakati alipowaalika katika chakula maalum leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi (Diaspora)wakiwa katika chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR. IKULU JIJINI ZANZIBAR




RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara hiyo kwa  mwezi wa Julai  hadi Disemba 2019 , mkutano uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais)...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA IKULU ZANZIBAR LEO



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania ukiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo (kulia kwa Rais) Jaji Mstaaf. Mathew Paua Mhina, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, hafla hiyo imefanyika leo 9/6/2020 katika...

 

11 years ago

GPL

RAIS DK. SHEIN AFUTURISHA WANANCHI, IKULU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Dk. Shein afutarisha wananchi, Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.Mke wa Rais wa zanzibar Mama...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR IKULU



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, katika mkutano wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini ZanzibarWAZIRI...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani