Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


“MAKENGEZA’ YANAYOLETA MGOGORO WA MUUNGANO

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamadi akizungumza jambo. KUNA mambo mengi ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambayo yamekuwa yakiutesa. Lakini Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamadi aliiambia Tume ya Warioba iliyokuwa ikishughulikia rasimu ya katiba mambo hayo. Kwa faida ya wasomaji wetu, leo tunawadonolea kwani anatuletea kumbukumbu za miaka ya nyuma sana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

“MAKENGEZA’ YANAYOLETA MGOGORO WA MUUNGANO

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamadi akizungumza jambo.
KUNA mambo mengi ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambayo yamekuwa yakiutesa. Lakini Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamadi aliiambia Tume ya Warioba iliyokuwa ikishughulikia rasimu ya katiba mambo hayo.

Kwa faida ya wasomaji wetu, leo tunawadonolea kwani anatuletea kumbukumbu za miaka ya nyuma sana ‘makengeza’ ya muungano ambayo yanasumbua hadi sasa.
Katika makubaliano ya kimataifa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgogoro Zanzibar wakwaza muungano

Kuendelea kwa sintofahamu baada ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar kufutwa imeelezwa kusababisha mikwamo ya kisiasa, ikiwamo kushindwa kukamilika utimilifu wa Bunge na sura ya baraza la mawaziri.

 

10 years ago

GPL

WASICHANA WERUWERU WAASWA: “FUATENI NYAYO, JIFUNZE NA KUPATA USHAURI KWA WANAWAKE WALIOFANIKIWA “

Ofisa Mkuu wa Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi chetu cha uhitimu mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru wakati wa mahafali ya shule hiyo yaliyofanyika mjini Moshi, Kilimanjaro mwishoni mwa wiki. Ofisa huyo aliwakilisha wafanyakazi wa Vodacom kupitia Vodacom Foundation ikiwa ni sehemu ya mchango wao katika kusaidia...

 

10 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA :Makengeza juu, juu zaidi!

Kwanza kabisa, awali ya yote, nasimama kidete bila shukrani za dhati kupinga kwa nguvu zote jinsi gazeti lako lilivyonidhalilisha mimi pamoja na ng’wanamakengeza wenzangu. Yaani unaanza kutoa makala mfululizo kuhusu athari za makengeza hivihivi tu! Bila hata kutuuliza sisi na kupata maoni yetu? Bila kujali hisia zetu?

 

9 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA : Nyomi ya matochi

Nimechoka kampeni. Nimechoka vijembe vya wanaojiita majembe huku wakilimana badala ya kuzingatia kilimo cha mahindi. Kumbe kilimo kwanza maana yake ni kutumia kiserema kuwachimbachimba wapinzani wako kwa udaku na uzushi.

 

9 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA : Usanii si sanaa

Mimi ni msanii. Hapana, jamani, mimi siyo mtangazania, mtiania, mbwiania, mfiania, sina nia ya ya kuwania au kubania nia za wengine. Ni msanii mpenzi wa sanaa. Bahati mbaya nafasi zetu za sanaa zimevamiwa na makanjanja wa sanaa ambao wanajiita wanasiasa eti siasa ni usanii. Siasa si usanii halali ingawa siasa na sanaa mara nyingi wanalala kitanda kimoja.

 

9 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA : Videmo watadumu?

Haya jamani, nadhani huyu mtafiti si wa kupuuzwa. Nimegundua kwamba demokrasia au tuseme kidemo ni kama kifaru. Ni mnyama mkubwa, mwenye nguvu, ni mnyama anayependeza hadi kila mtu anataka kuona kidemo angalau mara moja katika maisha yake.

 

9 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA : Umimi na Umeme

Mwishiwa mwenzangu, Hebu nisaidie. Tangu matangazo ya juzi nawasikia watu: ‘Si ndio haohao. Ngoja tarehe 25. Watakoma kabla hawajakomaa.’ ‘Naam. Za mhujumu hazifiki 40. 25 zinatosha.’ Kisha watu wanacheka. Kupanda daladala vilevile.

 

9 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA: Elekezi, tekelezi au telekezi?

Naam.  Ngoma ikipigwa, hata wengine waliosahau jinsi ya kucheza, ghafla wanaanza kutingisha.  Waliopenda ngoma za nje wanakumbuka za ndani.  Tehe tehe tehe.  Yaani, kwa miaka mingi, tulicheza ngoma nyingine.  Maana ya ziara ilieleweka kabisa.  Ni kwenda kukagua maofisi, maduka, masoko ya nje kisha kurudi na vitu lukuki ili kuendelea kuvikagua nyumbani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani